Nawaatarifu watz wenzangu.. Na kuwachana live nshawapa kubwa
Typical Tanzanian!!
Iko wp hyo?? na kwa nin usiwaambie hapohapo laiv?? huku unataka msaada gan labda??
Kumbe umeona nimekutana na dokta hataki atakuniangalia anaongea Tu na simu yaani majanga!!!!
mi nilishaachaga kwenda hapo AICC...wapuuzi sana... atleast kidogo kwa dr Mohamed ingawa nao sometimes ni wazembe
uliza dr. lweno niko room na 3. njoo nikutibu
Arusha tuna shida kubwa ya hospitali zenye kutoa huduma kwa haraka..ila AICC ndio kiboko yao,kweli kuna tumama pale reception tunajibu nyodo sana mpaka inaboa...siku mmoja nikaenda kumpeleka kijana wangu pale angalau apate huduma za kitabibu,
nafika tu reception,lahaula lakwata... hata sijafungua mdomo kutoa salam,naskia ya nyodo na misonyo ya hapa na pale''sipokei tena mtu asie na kadi mnatuchosha bwana kutafuta mifaili yenu'' anamwambia mtu mmoja kwenye foleni in a generic form....kimama kimoja ivi kibayabaya... kiliniudhi..
Sasa next day si kikaja ofisini kwangu kwa ajili ya mambo yake private...hahahaha kilitamani ardhi ipasuke...kilikutana na uso wa kauzu!!!
Bonge la Dr huyu Lweno,kahamia Dar naskia...he was one among staff waliokuwa wanaibeba hii excuse of a hospital!
Nendeni Mt Meru........huduma ni nzuri na kuna madaktari waliobobea.....
Bonge la Dr huyu Lweno,kahamia Dar naskia...he was one among staff waliokuwa wanaibeba hii excuse of a hospital!