Aibuka kikao cha RC kudai fidia

Sunbae

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
254
176
Mkazi wa Jiji la Dar es Salaam, Gibson Mwasembo ameibuka kwenye kikao cha Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla akitaka kulipwa fidia kwa madai ya kugongwa na gari la mkuu wa mkoa huo mwaka 1980 na kupata ulemavu.
Mwanachi.PNG
 
Kuna kitu sijaelewa, kwanini anadai fidia na kesi iliamuliwa Mahakamani akalipwa?
"Dereva alikutwa na hatia ..." Nadhani baada ya kukutwa na hatia alilipa faini. Sasa mzee ndio analalamika hakupata chochote.
 
Back
Top Bottom