Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,223
Imekutngulia wew mkuuha ha ha ha
AIBU YAKO HATA WEWE
All of itpoint
Njoo unishushie mpa magotini ujue mi ni mbuzi (me) au ke makendeHuyu mleta mada atakuwa 'ke wala sio 'me au mvulana, ametumia jina la 'me kujificha. Wanaume tunajitambua bhana! Mhudumuuuu! Sogea basi!
Hahahaa!a umefika mbal mkuu afu cjawah jua kwamba fran ni mwanmke humu meyb wawil nahis kuskia ndo wanawake kwa avatars zaoMnaaanzaga hivi hivi kuwaponda wanaume wenzenu, halafu mnawatafuna madada za watu kwa kisingizio kwamba nyinyi ni wastaarabu.
Kutakuwa kuna ka demu unakataka humu
Zigeuze mkeee zisikae kiihvo zikae kimakuPoint ni ya kumi tu zingne zmekaa kingese
Gud boy kwa kujitmbua na kuthamin utu kwamba richa ya udhaifu wao bado ni viumbe hai pia ko wantakiwa ishi kwa aman be fraha note that_usijuutie kusoma huu ujumbe ndo kujrekebisha but juutia kwa utendayo kwa mwanmke maana maumvu ayapatayo anjua pekeehii mada inamaneno ambayo yamenichoma kuliko mada nyingine humu jukwaani najuta kwa nini nimeisoma...anyway kwa upande mwingine uko sahihi mtoa mada ila ukumbike katika mambo uloyataja hapo juu kuna kupitiwa si unajua hakuna mkamilifu
Sawa bhanaHakuna aliyekamilika.
Mwanamke asiyetoa mimba atakuwa mbeya.Mwanaume asipokuwa mlevi atakuwa mchepukaji.au asipokuwa mchepukaji atakuwa Ana kibamia.na kadhalika.
Tukisema tuandike tabia za mwanaume au mwanamke aliyekamilika,nadhani wengi tutasema huyo mtu hayupo.Na wengi wasingependa kuwa na mahusiano nao kwasababu watajiona wana kasoro.
Uwezo wa binadamu kushinda vishawishi vingi anavovipata(sio vyote) ndio unaofanya binadamu mwenzake kumwona kama ni mwanaume au mwanamke kweli.
Tukosoane ila tujue katika hii vita ya mapungufu yetu hakuna aliye salama.
tusikate tamaa[emoji4]lasivyo mapungufu yetu yatatufanya watumwa.