Aibu yako wewe mwanaume

Ukiona huyafanyi hayo ujue uanaume wako una matatizo. Ni namba 4 na 10 tu ndio havipaswi kufanywa na mwanaume.
 
Ukiona huyafanyi hayo ujue uanaume wako una matatizo. Ni namba 4 na 10 tu ndio havipaswi kufanywa na mwanaume.
Mmmh so wew wamaanisha kwamba unaagree na hoja za hapo ??? Ok naweza hisi unandoa mbili na zaid coz u mkandamizaj kwa wanawake
 
HIZO SIFA ZOTE NI ZA MWANAUME KAMILI.
....kasoro namna 10 tu.
 
Ikiwa kuna anayekosa sifa hata moja kati ya hizo ulizotaja...basi ni Mwanamke.
 
Mmmh so wew wamaanisha kwamba unaagree na hoja za hapo ??? Ok naweza hisi unandoa mbili na zaid coz u mkandamizaj kwa wanawake
Kuwa na ndoa mbili au zaidi sio ukandamizaji, ni upendo. Wewe mwenye mke mmoja ndio una roho mbaya, yaani rundo loooote hilo la wanawake we umempenda mmoja tu, wengine huwapendi...dah!
 
Huyu mleta mada atakuwa 'ke wala sio 'me au mvulana, ametumia jina la 'me kujificha. Wanaume tunajitambua bhana! Mhudumuuuu! Sogea basi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…