Nilishawahi kunywa pombe ikataka iniachie aibu... All in all pombe kwasasa nimeweza kui control vilivyoHeri ya krismasi na mwaka mpya,nilikua mnywaji mkubwa wa pombe ila baada ya kushauriwa na kuona inaniletea matatizo nikaamua niiache.
Juzi siku ya boxing day nikatoka na washkaji hadi mtaa wa mbali kidogo ila nafahamika nikasema nikumbushie kidogo pombe.
Matokeo yake nilikunywa kupitiliza nikagombana na kila mtu hata wale wakubwa nnaowaheshimu mbaya zaidi hata kurudi nyumbani nilishindwa nikalala kwenye pagala.Naona aibu kutoka hata nje kwa nilichokifanya.MSAADA Nijinsi gani naweza rejesha heshima yangu na kuiacha pombe kabisa?
Playstation tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], huo ndiyo ulevi mbaya kuliko hata wa pombe, halafu ulevi wa playstation unakuletea umasikini kama usipokua mwangalifuEPUKANA NA KAMPANI YA MARAFIKI WALEVI,BORA UNUNUE PLAYSTATION UKIRUDI UWE UNACHEZA NYUMBANI NA MKEO AU NDUGU ZAKO
Kanywe Mara ya mwisho halafu ukawaombe msamaha.Heri ya krismasi na mwaka mpya,nilikua mnywaji mkubwa wa pombe ila baada ya kushauriwa na kuona inaniletea matatizo nikaamua niiache.
Juzi siku ya boxing day nikatoka na washkaji hadi mtaa wa mbali kidogo ila nafahamika nikasema nikumbushie kidogo pombe.
Matokeo yake nilikunywa kupitiliza nikagombana na kila mtu hata wale wakubwa nnaowaheshimu mbaya zaidi hata kurudi nyumbani nilishindwa nikalala kwenye pagala.Naona aibu kutoka hata nje kwa nilichokifanya.MSAADA Nijinsi gani naweza rejesha heshima yangu na kuiacha pombe kabisa?
hebu jitest kidole huko nyuma pako salama !! 🤣Heri ya krismasi na mwaka mpya,nilikua mnywaji mkubwa wa pombe ila baada ya kushauriwa na kuona inaniletea matatizo nikaamua niiache.
Juzi siku ya boxing day nikatoka na washkaji hadi mtaa wa mbali kidogo ila nafahamika nikasema nikumbushie kidogo pombe.
Matokeo yake nilikunywa kupitiliza nikagombana na kila mtu hata wale wakubwa nnaowaheshimu mbaya zaidi hata kurudi nyumbani nilishindwa nikalala kwenye pagala.Naona aibu kutoka hata nje kwa nilichokifanya.MSAADA Nijinsi gani naweza rejesha heshima yangu na kuiacha pombe kabisa?
Asante juzi ndo nilikunywa,baada ya kukaa miaka 2,shida ni namna ya kuacha jumla
Mind set tu, usitumie nguvu nyingi, fanyia kazi kwenye akili yako amini unaweza kuacha au kupunguza basiUliwezaje?
Mimi nilipanda daladala mkojo ukanibana njiani nimeshuka mara tatu kukojoa. Nimelazimika kulipa nauli tatu sehemu ya nauli moja. Nawaachia wanywaji waendelee tuHeri ya krismasi na mwaka mpya,nilikua mnywaji mkubwa wa pombe ila baada ya kushauriwa na kuona inaniletea matatizo nikaamua niiache.
Juzi siku ya boxing day nikatoka na washkaji hadi mtaa wa mbali kidogo ila nafahamika nikasema nikumbushie kidogo pombe.
Matokeo yake nilikunywa kupitiliza nikagombana na kila mtu hata wale wakubwa nnaowaheshimu mbaya zaidi hata kurudi nyumbani nilishindwa nikalala kwenye pagala.Naona aibu kutoka hata nje kwa nilichokifanya.MSAADA Nijinsi gani naweza rejesha heshima yangu na kuiacha pombe kabisa?
Ni rahisi kuvunja heshima kuliko kuijenga hivyo kuwa mpole kubali yaliyotokea na ukubali kwamba ulikosea alafu anza upya, Acha pombe na marafiki wa hivyo achana nao, marafiki wenyewe wakati wa shida hawaji [emoji23][emoji23][emoji23]Heri ya krismasi na mwaka mpya,nilikua mnywaji mkubwa wa pombe ila baada ya kushauriwa na kuona inaniletea matatizo nikaamua niiache.
Juzi siku ya boxing day nikatoka na washkaji hadi mtaa wa mbali kidogo ila nafahamika nikasema nikumbushie kidogo pombe.
Matokeo yake nilikunywa kupitiliza nikagombana na kila mtu hata wale wakubwa nnaowaheshimu mbaya zaidi hata kurudi nyumbani nilishindwa nikalala kwenye pagala.Naona aibu kutoka hata nje kwa nilichokifanya.MSAADA Nijinsi gani naweza rejesha heshima yangu na kuiacha pombe kabisa?
Huu ndio ushauri chachaaaa!!!Ni rahisi kuvunja heshima kuliko kuijenga hivyo kuwa mpole kubali yaliyotokea na ukubali kwamba ulikosea alafu anza upya, Acha pombe na marafiki wa hivyo achana nao, marafiki wenyewe wakati wa shida hawaji [emoji23][emoji23][emoji23]
Alipigwa pipeKuna jamaa alikuwa mlevi yaani pampula nashangaa kaacha ghafla tukimuuliza sababu anasema siku nikigombana na wife asitoe tu siri ya kuacha.
Itakuwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alipigwa pipe
We endelea kulala hapo hapo kwenye pagala, utusubiri tukutafutie suluhisho ama ushauri wa kukupa. Usichungulie nje wala kutoka hapo ulipo....endelea tu kulala. Nikuletee gongo nyingine?Heri ya krismasi na mwaka mpya,nilikua mnywaji mkubwa wa pombe ila baada ya kushauriwa na kuona inaniletea matatizo nikaamua niiache.