Aibu ya NBC - Mlimani city

Aibu ya NBC - Mlimani city

malipesa2014

Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
22
Reaction score
8
Foleni ndefu na dirishani kuna mtu mmoja tu! What a SHAME
 

Attachments

  • 1408089990197.jpg
    1408089990197.jpg
    45.4 KB · Views: 952
Si bora hata huko dar es salaam kuna branch nyingi za NBC unaweza ukachoropoka branch nyingine kupatA huduma chap chap mikoani ndo shida sasa
 
Kuna yule Dada kwenye dirisha namba tatu vipi leo hayupo huwa anajitahidi sana.
 
Hawajafungua saa 4?? Kuna siku walifungua huo muda
 
hapo ni hakuna wateja kwenye foleni ama?
Huwa ninaamini kuwa sekta ya kibenki kwa Tanzania itakuja kufa kwani ni kero tupu,mara wakuambie mtandao uko chini halafu hapo ni baada ya kusubiri kama nusu saa ndo wanaambia, wafanyakazi wapo wapo tu utadhani umeenda kuomba msaada wakuhudumie. Wataturudisha nyuma tuanze mtindo wa kuhifadhi fedha majumbani.
 
halafu ikifika saa nane mchana wanafunga..hii benk kero sana
 
kuna uzi nilanzisha hapa week iliyoisha,,,watu walitoa malalamiko sana hapa
_nimeshidwa kuutafuta
~ulihusu huduma mbovu za mabank yote nchini,bank inaweka madrisha hadi nane ila mawili tu ndio yanafanya kazi
 
So far nilienda benki ya Equity nikajionea tofauti ya huduma iliyotukuka.
Hawaweki watu kwenye foleni kabisa. Ukikaa foleni wanakupeleka kwenye teller mwingine. Kama teller wengine wamezidiwa wanakupeleka kwa corporate teller.
Nilipenda huduma zao sasa sijui ni kwa sababu bado wana wateja wachache au, enewei.
 
Huko hamna foleni moshi kuba branch inaitwa Nelson Mandela branch bhana ni shidaaa unakaa kuanzia saa 2 had unapata huduma saa 8 au 9
 
kuna uzi nilanzisha hapa week iliyoisha,,,watu walitoa malalamiko sana hapa
_nimeshidwa kuutafuta
~ulihusu huduma mbovu za mabank yote nchini,bank inaweka madrisha hadi nane ila mawili tu ndio yanafanya kazi

THREAD UANZISHE MWENYEWE USHINDWE KUIPATA.....
Bank kuwa na madirisha hadi 8 ila mawili tu ndio yanafanya kazi

Started by Marire, 12th August 2014 16:31

Heshima kwenu wakuu.

Kama kuna mabanker humu naomba wanisaidie ukienda bank nyingi hapa TZ hasa NMB, CRDB na NBC utakuwa foleni ni ndefu alafu madirisha ya teller yapo hadi 12 ila yanayofanya kazi ni 3/4 na hapo hapo hawaruhusu kuongea na simu ndani ya bank.

Huwa najiuliza sisi kupeleka pesa pale Bank sio manufaa kwa Bank hadi wameona sio muhimu kuongeza wahudumu au ni sisi wateja hatujui kudai haki zetu?

Naomba ufafanuzi kwani huwa napata hasira sana kukaa foleni Bank.
 
Tyta nimeuona mkuu si unajua mi natumia simu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ukija kigoma kasulu nmb ndio utakimbia sasa watu wamejazana kama kumbi kumbi

mwingne na elf3 zake anaenda kuweka bank
nishidaaa
 
Leo nimepoteza karibu siku nzima tawi lao la mlimani city, ...hii nbc ni shida
 
Hatimaye tumetangaziwa tujaribu matawi mengine, ...tangu saa 4 asb tupo foleni.
Hii nbc ni shida
 
Foleni ndefu na dirishani kuna mtu mmoja tu! What a SHAME

Mkuu malipesa2014,pole sana kwa hayo.
Mimi nimependa tu jinsi ulivyoipiga picha yako,umeonyesha vivuli vya hao watu wa kwenye foleni.
Huu uliofanya ni ustaarabu mzuri sana.
 
cha kushangaza kwa benki zenye wahudumu wachache ni kwamba kwa watu wanaokuja kuomba hizo nafasi za kazi, wanaambiwa kuwa nafasi zimejaa wakati hata hizo nafasi zenyewe zinaonekana zikiwa zimepelea mno.
 
Back
Top Bottom