Aibu ya mwaka...

Siku moja nikiwa nchi za watu...!! Nilikuwa ndani ya bus nasafiri, ilikuwa safari ya ghafla sana kwani nilichokitegemea toka huko nilikoenda kwa mwenyeji wangu(wa kike) sikukipata. So kwa hasira nikaamua kuondoka asubuhi na mapema, nikaanda bus kurudi homiz. Nakumbuka nilikuwa mwaka wa pili chuo....!!

Baada ya safari ndefu kidogo nikabanwa sana na mkojo...tena sana!! Bus limesheheni abiria na kiukweli huwezi kusimamisha bus kuchimba dawa sehemu ambayo haina toilet(mya be iwe real emergence). basi kidume nikajikaza kishenzi!! Lakini wapi..nikaamua kumweleza mwenzangu niliesafiri nae, kwamba hali ishakuwa mbaya kwenye kibofu...

Ikanibidi tuchukue chupa ya maji tukamwaga maji nje bila woga...then nikainamisha chupa chini ya kiti, nikafungua zipu ili nimwage wese...dah....sikuamini macho yangu, mkojo umenibana vilivyo, kibofu hakitamaniki lakini nashindwa kukojoa...mkojo hautoki, kila nikilazimisha wapi....!!!

Nadhani ni frustration labda kutokana na abiria wengi tuliokuwa ndani ya ile bus, na ikumbukwe sijawahi kukojoa ndani ya chupa in ma life hasa nikiwa nasafiri...Kilichoendelea ni kuleta fujo mule ndani ya bus hadi dereva akasimama, ndo ikawa afueni yangu!!

Is this out of mada??

ni psychological thing
kwa wanaume psychology yako ikiwa disturbed to
inatokea

hujawahi kushikwa na haja ugenini but ulipooana toilet ilivyo
haja ikapotea?
ndio hivyo..lol
 

ndani ya mada mkuu...
 
Sasa jamaa anawaza atafanyaje kumhakikishia yule binti kwamba yupi fiti sababu anahisi yule msichana keshaanza kumtangaza vibaya hapo chuoni.

kwa jinsi unavosimulia na kuonyesha kuguswa bila shaka ishu imekutokea... kuwa muwazi tu
Anyway, kama binti aliridhia kwa mapenzi yake mwenyewe haitakuwa ngumu kumshawishi warudi tena faragha kama mwanzo ila usiwe na wasiwasi wala woga unapaswa kurelax ili yasitokee tena.
 
Amwache amtangaze halafu atakaejipendekeza vumbi ataliona!
 
Ha ha ha ha ha.

Tatizo wewe kama ni usafi wa shamba ulitaka uchome kwanza hiyo misitu uliyokuwa nayo
Mkamia maji hayanywi.

Ila pole, ulikuwa excited sana labda, buit ni kawaida kabisa.
 
Atoe shaka. Ajiandae kumprove huyo binto wrong kwa wengine sababu soon watakuja kwa wingi kuhakikisha.
 
hiyo ni nyeto .yaan nikiwa nataka kupiga demu inabid nitavumilie siku tatu kabla kutopiga puli sababu nikitoka kupiga puli hlf kesho nikagongane ngoma inagoma tena inakuwa ndogo kama kidole cha mwisho nimeshaaibika mara kadhaa
 
Dogoooo... Wala usihofu hiyo ishu ichukulie kama mtaji wako ki-maslahi ya ngono zaidi.

damage recovery plan

1- mwache atangaze kuwa wewe jogoo hawiki...chuo kizima wakijuwa ndio unaanza kuwabamiza wale kina tomaso wasioamini mpaka watie vidole.

2- akishatangaza na mademu wote wakajuwa kuwa wewe sio dume halisi.....tafuta mpunga anza kuwatega na ukimnasa moja unavaa shanga kisha unamgonga vizuri sana...akirudi atamsimulia shosti wake kuwa uongo mtupu upo fiti na tena unavaa shanga....wataongezeka watakaokuja kuhakiki kama mwenzao kasema ukweli...wapili akija usivae shanga...unamgonga bao za kutosha mpaka maji aite mmmmaaa.

Kama nakuona mkuu maana utawala mpaka waalimu wako wa kike maana watakuja kuhakiki kama kweli unavaa shanga na wengine kuhakiki kama kweli kiwete kasimama dede na sasa anakimbia

angalizo:- hakikisha huyu anayekutangaza humtii tena mpaka siku ya mwishooo unayoondoka shule...huyu anatakiwa awe anatangaza tuuu.....na wale mashuhuda uliowala wao watakuwa wanakusifia tuuu sasa huo ubishi wewe unakuwa unawagonga sana tuuu waleee wanaotaka kuhakiki nani mkweli.


Ni hayo tuuu.
 
atoe shaka. Ajiandae kumprove huyo binto wrong kwa wengine sababu soon watakuja kwa wingi kuhakikisha.

haina haja kaka ya ku-mproove mjinga mmoja wrong.....waje woote waliosikia kuwa jamaa hasimamishi ili walumwe na dudu kisha wakabishane kuwa jamaa sio waje wapime kina cha bahari kwa kidole.

Ni hayo tuuu
 

Usiombe iyo kitu mbaya sana Ilisha wahi nitokea....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…