Umuhirindahu
JF-Expert Member
- Feb 2, 2014
- 349
- 170
Ni uzembe wa viongozi husika katika manispaa ya Morogoro...
sababu ni kwamba huyo anaekusanya hela hatumii choo hicho.
Mchangiaji, tuombe msamaha.......Waluguru bado hawajaacha mila zao za kujisaidia vichakani ndio maana manispaa hawaoni sababu ya kujenga vyoo vingi wakati wanyaji hakuna bali wanaacha vichaka vingi kudumisha mila na desturi ya wenyeji........
Same to. Stand mpya pale SIMU2000 jengo kubwa vyoo vichache,nenda stand ya shamba mbagala rangi 3 unaweza usijisaidie na haja ikayeyukaLeo nimepita Morogoro,nipo njiani kuelekea Mwanza,sikuamini nilichokiona....choo cha stand(public toilet) kipo kimoja na ni kidogo,watu wamepanga foleni inahitaji usubiri karibu dakika 10 upate nafasi ya kuhisaidia...zaidi ya yote ni kichafu balaa..kuna mama yupo pale bize akikusanya mia mbili kwa kichwa...anyway maswali nnayo jiuliza(naomba mnisaidie) hivi haiwezekan akapatikana mwekezaji wa kutatua tatizo hili...?.utaratibu wa kupata tenda kama hii ukoje?Wahusika hii hali wanaiona?
siyo kweli kuwa choo ni kimoja ukiwa unaingia getini kushoto kipo choo na upande wa parking ya madereva taxi ipo kingine kimoja
siyo kweli kuwa choo ni kimoja ukiwa unaingia getini kushoto kipo choo na upande wa parking ya madereva taxi ipo kingine kimoja
Je vina sifa za kuitwa vyoo?
Leo nimepita Morogoro,nipo njiani kuelekea Mwanza,sikuamini nilichokiona....choo cha stand(public toilet) kipo kimoja na ni kidogo,watu wamepanga foleni inahitaji usubiri karibu dakika 10 upate nafasi ya kuhisaidia...zaidi ya yote ni kichafu balaa..kuna mama yupo pale bize akikusanya mia mbili kwa kichwa...anyway maswali nnayo jiuliza(naomba mnisaidie) hivi haiwezekan akapatikana mwekezaji wa kutatua tatizo hili...?.utaratibu wa kupata tenda kama hii ukoje?Wahusika hii hali wanaiona?
Samahani mkuu kama wewe si miongoni mwa wanaodumisha mila na desturi...........Mchangiaji, tuombe msamaha.......
Usijali ndugu zimefika na nimekusamehe mtanzania mwenzangu mpenda maendeleo kama mimi.....tujitahidi kukemea mambo yanayorudisha nyuma maendeleo, kama suala hilo la stendi ya msamvu.Samahani mkuu kama wewe si miongoni mwa wanaodumisha mila na desturi...........