Aibu nusu na robo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aibu nusu na robo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Bellino, Mar 14, 2012.

 1. Bellino

  Bellino Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  RUTASHOBYA. baada ya kumaliza elimu yake ya sheria..akabidhiwa ofic.. siku ya kwanza ktk kiti cha kuzunguka...
  anaingia mdada oficin kuonyesha yuko bize ananyanyua cm ya mezani nakuanza ku bang

  ee haroo...
  ok akchuari nita sort everythng.. bt next morning nitakuwa na meeting na ma doctaz...
  pia just prepare everythng utanitumia kwa njia ya fax..
  niko so taff mpaka na late to bed everyday..
  ok nathng matter ni wait BOT front ofic...
   
 2. Bellino

  Bellino Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sister am so busy cjui nikusaidie nini...
  Sister: am TTCL Connector Enginier actual your line is new so nimekuja kuunganisha..
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh kaaibika
   
 4. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hapo unaweza kupoteza fahamu kwa aibu
   
 5. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,129
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Hayo ndo madhara ya mbwembwe za kijinga. Sidhani kama huyo jamaa mwanasheria alithubutu kumtazama yule dada wakati akiunganisha simu! (Lakini kwa nini mleta joke aliigawa joke kwenye sehemu mbili?)
   
 6. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kwa Rutashobya,aibu nusu na robo.
  Lakini ingekuwa MIMI hicho kitu kamili babake... Kama nimefumaniwa na kident cha primary, afu watu miamia mzee nina kipensi tu, kudadadek !!!
   
 7. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ... NUSU na ROBO !
   
 8. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  ahhahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa...
  hii kaliiiii!!!
   
 9. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  sifa za kijinga.
  hatorudia tena kupenda sifa.
   
Loading...