Haya ona Sasa ndio Nini hiki
Ndugai kaanza vituko Tena eee?
Kwanini hakupanga bajeti kwenye wizara husika na bunge lake la kijani Kama shamba la migomba huko kwa kina Nshomile?
Bashungwa hafai arudishwe kwao akalime machungwa kazi na wizara ishamshinda!