Aibu kwa jiji la Mwanza

Aibu kwa jiji la Mwanza

Vege

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
338
Reaction score
365
Habari zenu wana jamvi,

Hali la jiji la Mwanza kwa upande wa miundombinu wanajitahidi kiasi ila wanasahau vitu vichache ambavyo ni vya msingi sana.

Jiji hili barabara zake kuu zote ni giza, zile taa za usiku zote hazifanyi kazi. Yaani ni kwamba ukipita usiku kwa sisi wananchi ni shida unakuwa unatembea kwa wasiwasi na ukizingatia mkoa huu unapiga watu nyundo, unachinja watu na matukio mengi ya ajabu.

Ningependa kuwakumbusha hawa wenye mamlaka husika walifanyie kazi suala hili kwa usalama wa wananchi ili kuepuka vibaka na matukio mengine ya ajabu.
 
Mkuu wa mkoa ametoa agizo mpk kufikia tarehe 15.11.2019 taa zote za barabarani ziwe zinafanya kazi.
Agizo hilo alilitoa mwanzo wa mwezi huu wa 11..ila mpk sasa sioni dalili zozote za marekebisho ya hizo taa..ngoja tuone hiyo tarehe 15 nov...mkuu wa mkoa mongella atachukua hatua gani kama hizi taa hazitafanya kazi...namkubali sana mongela atachukua hatua kali kwakupuuzwa agizo lake..ni aibu kwa jiji kama hilo kuwa giza totoro barabarani wakati mataa yapo
 
Umesahau na suala la ujenzi holela

Nadhani kwa Tanzania mwanza inaongoza!.
hapo sasa hata barabara za mitaani hazionekani watu wamejenga hovyo hovyo tu
 
sa
Acheni kupiga watu hizo nyundo basi
[/QUOTE
ndg yang n hatari ukigeuka kdg n nyundo sa sijajua zile ni imani za kishirikina ama nini maana kuna watu wanapigwa nyundo afu hawaibiwi chochote
 
Mkuu wa mkoa ametoa agizo mpk kufikia tarehe 15.11.2019 taa zote za barabarani ziwe zinafanya kazi.
Agizo hilo alilitoa mwanzo wa mwezi huu wa 11..ila mpk sasa sioni dalili zozote za marekebisho ya hizo taa..ngoja tuone hiyo tarehe 15 nov...mkuu wa mkoa mongella atachukua hatua gani kama hizi taa hazitafanya kazi...namkubali sana mongela atachukua hatua kali kwakupuuzwa agizo lake..ni aibu kwa jiji kama hilo kuwa giza totoro barabarani wakati mataa yapo
hapo atakua kasaidia sana
hususan ile barabara ya nyegezi ina mapori mengi kwel pale jeshini kwa hiyo itadhibiti kdg matendo ya hovyo
 
Hiyo nyegezi itabidi iwe giza maana nyegezi hazitaki mwanga
 
Mwanza taratibu itajifunga na katika miji mipya itakosa alternative roads na mwisho wa siku magari yote yatajaa same places na kusababisha foleni. Mwanza bado mbichi wakiamua kuipanga bado haijachelewa maana sehemu nyingi zinakua kimakazi zaidi kuliko kibishara
 
Barabara kuu kutoka voil hadi mkuyuni hakuna taa kabisa pale, na nieneo hatari sana lile alafu wahusika wanajua kabisa il wapo kimya tu yani.
 
Mkuu wa mkoa ametoa agizo mpk kufikia tarehe 15.11.2019 taa zote za barabarani ziwe zinafanya kazi.
Agizo hilo alilitoa mwanzo wa mwezi huu wa 11..ila mpk sasa sioni dalili zozote za marekebisho ya hizo taa..ngoja tuone hiyo tarehe 15 nov...mkuu wa mkoa mongella atachukua hatua gani kama hizi taa hazitafanya kazi...namkubali sana mongela atachukua hatua kali kwakupuuzwa agizo lake..ni aibu kwa jiji kama hilo kuwa giza totoro barabarani wakati mataa yapo
ndugu yangu maendeleo y kuweka taa za barabarani umefikia wapi aisee
 
Barabara kuu kutoka voil hadi mkuyuni hakuna taa kabisa pale, na nieneo hatari sana lile alafu wahusika wanajua kabisa il wapo kimya tu yani.
wahusika wamegoma.kabisa kufunga taa za barabarani kwenye barabara kuu za jiji
hii ya makongoro,nyegezi hata igoma ni giza tu hv mbona wanatuimbia walipa kodi
hii nayo wanataka had rais aseme duu
 
Barabara zote za michepuko zimefungwa taa kasoro main roads....labda wana sababu zao msiwalaumu sana.
 
sawa ila kama ile ya makongoro imeisha kabisa n double road taa ni za muhimu
kwa hiyo ya nyegezi labda tuseme wanaifikiria kuipanua
 
Back
Top Bottom