Kwa mtazamo wangu, hii ni aibu sana ubuntu for phones os running on galaxy nexus kwenye ces 2013, kuwa na ubora zaidi kuliko android os ambayo ndiyo stock rom ya nexus
nilitegemea kuwa wewe ndo utajibu.
hata kama ni developer's device. hawa jamaa wameonyesha new ideas ambazo zimeifanya jelly bean 4.2 kuonekana bado siyo the best opensource os as wengi tulivyokuwa tunafikiri.

mkuu hakuna marefu yasiyo na ncha hata hiyo ubuntu so nzuri kivileee sema ni promising kuliko android
pia kitu wanachotoa ubuntu kimeshakua practised na meego ambayo imetekelezwa na nokia (button less phone, kuswipe kwenye kila edge ya screen, )
Mimi bado ninabet kwenye succession za meego (firefox os, sailfish na bb10) kuja kuprovide perfect os kwenye simu.