Aibu kubwa tume ya taifa ya uchaguzi...

Aibu kubwa tume ya taifa ya uchaguzi...

Fortilo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
5,890
Reaction score
17,746
Katika hali inayotia doa na pengine kutia aibu kubwa katika muhimili wa kusimamia demokrasia nchini ni hili la mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguz Jaji Damian Lubuva kudai kuwa hawana ofisi, na wala mamlaka za uteuzi haziingilii uhuru wa tume.. Pamoja na mambo mengine amekiri haya akiwa anahojiwa kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV. Ni aibu kubwa kwa tume ya uchaguzi kukosa ofis kwa kipindi cha miaka zaidi ya ishirini hivi wakati tume ya katiba ya juzi na ambayo sio ya kudumu, ina kila aina ya facility.

my take: je hii ni mbinu inayotumiwa na watawala kuwanyongonyesha wateule wao ili wasiweze kutenda haki katika chaguzi nyingi zenye ushindani nchini? au ni zaidi ya hapo. Naomba wana JF tufikiri kwa pamoja
 
Katika hali inayotia doa na pengine kutia aibu kubwa katika muhimil wa kusimamia demokrasia nchini ni hili la mwenyekit wa tume ya taifa ya uchaguz Jaj Damian Lubuva kudai kuwa hawana ofisi,

Hawana ofisi kweli kweli jamani, na ile pale mbele ya ubalozi wa Mozambique karibia na jengo la umoja house ni nini? Ama alitaka wapangishiwe PPF tower nzima ndo tujue kama wana ofisi. Anataka ofisi ya nini wakati hata waliyonayo haina manufaa, hata wakiwa na magari yatawatosha kufanyia ofisi
 
Huyu jamaa tangu wachakachue matokeo ya 2010 hayupo vizuri kichwani tena. Ile dhambi itamuandama mpaka mwisho wa maisha yake.
 
Huyu jamaa tangu wachakachue matokeo ya 2010 hayupo vizuri kichwani tena. Ile dhambi itamuandama mpaka mwisho wa maisha yake.

wewe kweli ni mfatiliaji wa mambo? Lubuva na mkurugenzi wake ni wateuliwa wapya kabisa ya 2010 hayawahusu ile ilikua tume ya makame na mwenzie yule MJALUO
 
Back
Top Bottom