Katika hali isiyo ya kawaida nikiwa katika pitapita zangu za kujitaftia riziki nilijikuta katika hali ya mshangao pale nilipo kumbana na vijana wabunifu wa ajira zisizo rasimi ambapo vijana walikua wakifanya kazi ya kutoa magari yaliokua yakikwama katika shimo la maji machafu na kutoza fedha madereva wa magari hayo. Shimo ilo lipo maeneo ya Posta pembeni mwajengo la HIDERY PLAZA. Kwakifupi barabara hii imekua kero kubwa kwa madereva wa magari kwani inamashimo yasio ya kawaida yani utafikiri sio barabara ya lami na hata kama ni lami haipo katikati ya mji. swali ni kwamba je wahusika hawajaona kero hio? na je fedha zinazotengwa kwa ajili ya ukarabati wa barabara (road maintenance) hazitoshi. na wahusika wa idara husika wafanya kazi gani?
Kwa mujibu wa vyanzo mbali mbali vya habari vinasema kwamba..swala la miundombinu ya maji including hilo shimo..halimo katka usimamizi wa halmashauri kama ilivyokua awali! Na sasa iko chini ya Dawasa/ Dawasco kama sikosei na taarifa zinasema fedha za ukarabati zinatolewa wazee wana chakachua!
Aibu kitu gani au kwa vile ni Dar? mbona huku tunavua samaki kabisa na hukuanzisha thred?
Big where you stay ? I am want to come there and catch fish.Many fish there ? big fish ? I am want to come just tell me you sit where..
Katika hali isiyo ya kawaida nikiwa katika pitapita zangu za kujitaftia riziki nilijikuta katika hali ya mshangao pale nilipo kumbana na vijana wabunifu wa ajira zisizo rasimi ambapo vijana walikua wakifanya kazi ya kutoa magari yaliokua yakikwama katika shimo la maji machafu na kutoza fedha madereva wa magari hayo. Shimo ilo lipo maeneo ya Posta pembeni mwajengo la HIDERY PLAZA. Kwakifupi barabara hii imekua kero kubwa kwa madereva wa magari kwani inamashimo yasio ya kawaida yani utafikiri sio barabara ya lami na hata kama ni lami haipo katikati ya mji. swali ni kwamba je wahusika hawajaona kero hio? na je fedha zinazotengwa kwa ajili ya ukarabati wa barabara (road maintenance) hazitoshi. na wahusika wa idara husika wafanya kazi gani?
`katiti' ndo kitu gani?
Kama barabara kuwa na mashimo ni aibu, basi hata rais wetu asingethubutu kutoka ikulu, angejifungia chumbani kwake na kujifunika ile hijab ya wanaume!
Mkuu, kingereza chako kina viraka aiseeee.....
Kumbe kila kitu kuna cha kike na cha kiume. Hivi shanga za kiume zikoje?