AI imeniona inanitambua kumbe 😀

Mbona kuna jamaa aliweka taarifa zetu humu jukwaani kutoka huko Grok! Tena hata mimi nilimuomba na akateremsha wasifu wangu uliotukuka.
Basi kuna muunganiko kati ya Space na Jamiiforums....oh nimekumbuka, unaweza kuifuatilia Jamiiforums ukiwa space😊
 
Ndiyo umejua leo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…