Ahsanteni makamanda wa Kinondoni, Mbowe na timu yako; Vitabu vya historia vitaandika

mwmbeki

Member
Apr 8, 2017
91
124
pasipo shaka mu-wazima wana jamvi.

na Mimi kama mtanzania anayefahamu hatima ya nchi yake, meona ni vema kuweka mjadara mfupi jamvini kutokona na uchaguzi wa majimbo ya kinondoni,siha na baadhi ya kata hapa nchini.

Nawapongeza makanda wote wa KINONDONI kwa kuwaonyesha watawala kuwa vichwa vyenu havijaa mifupa tu Bali vina akili..
nawapongeza kwa kuonyesha machungu,manung'uniko na mateso mlinayo juu ya hawamu hii ya utawala, zaidi ni mlipoonyesha hisia zenu za kumtakia raisi kifo kupitia nyimbo kama chanzo cha haya yote,,Hii ni dalili mbaya sana kwa siku za mbeleni kama hii njia mpya ya kupata viongozi haitakoma na ikiendelea hakika itafika siku Masai atavaa kaptula na mlima wa pili kwa ukubwa duniani utakuwa mwekundu..
kamanda mbowe na timu yako ya uongozi, nawapongeza kwa kutoa maisha yenu leani kwa ajili ya watu wa Tanzania..kazeni buti na mkumbuke kuwa mageuzi hayakuwahi kuacha mtu salama
viongozi ka kinjekitile,mkwawa,mirambo, Luther king,Malcolm x na wengine waliweka maisha yao leani ili kupingana na dhuruma juu ya watu wao, lakini jitihada zao Leo zimo kwenye vitabu vya historia..
mtaitwa majina mengi kama wachochezi,wapinga maendeleo,wasaliti wa nchi, adui wa umma nk,msikate tamaa hakika juudi zenu zitatunzwa katika vitabu vya historia.

mwisho tume HURU ya uchaguzi
hapa Mimi huwa nacheka kwelikweli. hivi upinzani huwa tunaingia kwenye uchaguzi kushinda au kushiriki tu?? NEC kuanzia taifa hadi kitongoji ni makada wa ccm na wateule wa raisi na kila mtu analinda nafasi yake..Yaani atangaze mpinzani afukuzwe kazi au atangaze ccm apandishwe cheo ka mnyeti.
pambaneni kwa nguvu zote tupate tume huru kabla hatujaingia kwenye ulingo wa siasa 2020..bila hivyo hatuwezi kushika dora,labda bunduki zipambane na mishale, na bila hivyo ma askari watatunyang'anya majimbo yote, kata zote na mitaa yote make CCM BILA BUNDUKI WALLAH IKULU HAWAKANYAGI

MAKAMANDA Mimi nawaombeeni na sisi vijana makini tupo nyuma yenu tunatafuta namna ya kuingia ulingoni,ili kuendeleza mapambano ya kidharimu na kupigania taifa letu.

Enock kaiza
Arusha Tanzania.
 
Damu ya Akwilina kumwagika bila hatia imegusa watu wengi. Yule anayesema anabatiza watu kwa moto atailipa damu ya Akwilina, Wameishiwa hoja wanatumia bunduki, watafanya makosa mengine tutalipa damu ya akwilina.
 
"Mkurugenzi tunakulipa mshahara mzuri, Nyumba na Gari kisha unatangaza mpinzani kashinda tutakushangaa sana"
Quote from kiongozi namba moja. Na mzalendo wa kweli anayesema Maendeleo hayana vyama. Na msisahau kumuombea!
Anasema maendeleo hayana vyama lakini mpinzani kuchaguliwa na wananchi ni kosa la uhaini.
 
pasipo shaka mu-wazima wana jamvi.

na Mimi kama mtanzania anayefahamu hatima ya nchi yake, meona ni vema kuweka mjadara mfupi jamvini kutokona na uchaguzi wa majimbo ya kinondoni,siha na baadhi ya kata hapa nchini.

Nawapongeza makanda wote wa KINONDONI kwa kuwaonyesha watawala kuwa vichwa vyenu havijaa mifupa tu Bali vina akili..
nawapongeza kwa kuonyesha machungu,manung'uniko na mateso mlinayo juu ya hawamu hii ya utawala, zaidi ni mlipoonyesha hisia zenu za kumtakia raisi kifo kupitia nyimbo kama chanzo cha haya yote,,Hii ni dalili mbaya sana kwa siku za mbeleni kama hii njia mpya ya kupata viongozi haitakoma na ikiendelea hakika itafika siku Masai atavaa kaptula na mlima wa pili kwa ukubwa duniani utakuwa mwekundu..
kamanda mbowe na timu yako ya uongozi, nawapongeza kwa kutoa maisha yenu leani kwa ajili ya watu wa Tanzania..kazeni buti na mkumbuke kuwa mageuzi hayakuwahi kuacha mtu salama
viongozi ka kinjekitile,mkwawa,mirambo, Luther king,Malcolm x na wengine waliweka maisha yao leani ili kupingana na dhuruma juu ya watu wao, lakini jitihada zao Leo zimo kwenye vitabu vya historia..
mtaitwa majina mengi kama wachochezi,wapinga maendeleo,wasaliti wa nchi, adui wa umma nk,msikate tamaa hakika juudi zenu zitatunzwa katika vitabu vya historia.

mwisho tume HURU ya uchaguzi
hapa Mimi huwa nacheka kwelikweli. hivi upinzani huwa tunaingia kwenye uchaguzi kushinda au kushiriki tu?? NEC kuanzia taifa hadi kitongoji ni makada wa ccm na wateule wa raisi na kila mtu analinda nafasi yake..Yaani atangaze mpinzani afukuzwe kazi au atangaze ccm apandishwe cheo ka mnyeti.
pambaneni kwa nguvu zote tupate tume huru kabla hatujaingia kwenye ulingo wa siasa 2020..bila hivyo hatuwezi kushika dora,labda bunduki zipambane na mishale, na bila hivyo ma askari watatunyang'anya majimbo yote, kata zote na mitaa yote make CCM BILA BUNDUKI WALLAH IKULU HAWAKANYAGI

MAKAMANDA Mimi nawaombeeni na sisi vijana makini tupo nyuma yenu tunatafuta namna ya kuingia ulingoni,ili kuendeleza mapambano ya kidharimu na kupigania taifa letu.

Enock kaiza
Arusha Tanzania.
Naamini wewe ulishiriki kwenye vurugu za Ijumaa naomba serikali ikufuatilie haraka sana!
 
Damu ya Akwilina kumwagika bila hatia imegusa watu wengi. Yule anayesema anabatiza watu kwa moto atailipa damu ya Akwilina, Wameishiwa hoja wanatumia bunduki, watafanya makosa mengine tutalipa damu ya akwilina.
Chadema ndiyo walioshiriki kwenye vurugu hizo!
 
judge the content of my thread,not language, even if I do no English,there is another language I know, napata wasiwasi na shule yako, na wewe sio bashite kweli??
Wewe nasema tena ulishiriki kwenye ile vurugu na kuna uwezekano hata risasi zile kuna ambazo ulirusha wewe unahitaji kushugulikiwa na serikali.
 
una mifupa tu kichwan,hakiri hakuna.
 
Back
Top Bottom