Ahsante whatsapp+ v1.88


Msaada kiongozi.. Mbona napo jaribu kuinstall whatsapp pluss inaniambia kuna app nyingine kama hiyo ilishakua installed.. Kama hii
 
Mkuu wala ucogope..mm nna zaid ya mika 3 sas natumia whatsapp na cjawah lipia...kila mda unapoisha hua napat hii notification "Extended" kutok whatsapp..then nkichck mda uliobak nakuta 1 yr.
Du! Afadhali. Kumbe nisiwakorofishe kwa kuweka whatsapp+
 
Hii nzur..itasaidia kuongeza privacy...mana kuna wengn akiomb cm yako cha kwanz ni kufungua whatsapp..

how does it work kuficha hizo conversation hebu nipe shule kidogo!!
 
Nili backup cinservation,nika delete wasap messenger, nikaanza kuinstall ikagoma,kama hapo juu.
 
Labda njia rahis zaid ni kuchange account kwa kuweka line nyingine, wakiextend duration bas unarudisha line yako ilozoeleka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…