Ahsante kinyozi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,853
Reaction score
831,135
mpiga chabo mmoja aliwachungulia wapenzi fulani wakiwa chumbani, akashuhudia mwanamme akimnyoa mwanamke nywele za chini ya kitovu karibu na kei, jamaa alipomaliza kumnyoa akapiga bonge la kiss kwenye kei !!
mpiga chabo kwa furaha akajikuta anasema kwa sauti 'AHSANTE KINYOZIII!!!
 
ebaneeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
lazma knyoz akose pozi
 
Inabidi atke nduki maana jamaa lazima amzungukie
 
Nimeipenda, ni sawa na wale wenye midadi wakiwa uwanjani wanaangalia mpira kaa nao mbali.
 
Huyu mpiga chabo alikua dume au jike?, inaonekana alikuwa kuna kitu nae alikuwa anakamilisha!
 
Nimeipenda, ni sawa na wale wenye midadi wakiwa uwanjani wanaangalia mpira kaa nao mbali.

Alikuwepo headmaster wangu Rungwe sec. alikuwa na midadi balaa, kulikuwa na mechi ya football ikawa imepigwa kross kuelekea golini ile kipa anadaka kule headmaster alimdaka teacher kichwa, ilikuwa burudani hadi akaamua kuondoka, ikawa siku nyingine kukiwa na mechi anapelekewa kiti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…