Ahsante Jumia

james marco

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
208
Reaction score
167
Nimepitia nyuzi nyingi hapa kuhusiana na online shoping niliamua nijaribu ku shop kupitia jumia aseee mzigo umenifikia ndio nikatoa cash asee pongezi kwa kwenu jumia
 
Jamaa wako vizuri sana....vitu vingi nimenunua kupitia kwao
 
Wako vizuri sana, ila kuna jamaa yangu mmoja alinunua simu kwao baadae alifuatwa na kundi la watu 3 wakamwabia umeuziwa simu yetu.tunaitaka na kesi hipo Msimbazi na RB walikuwa nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…