UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,885
Binafsi nimejikuta nikiwajibika katika mambo mengi sana ila nimekua mtumishi mwaminifu sana katika serikali yangu
Nimekutana na mambo mengi sana na changamoto nyingi ila niishukuru 2016 katika mambo yafutayo sababu yote yametokea ndani yake
Kwanza nishukuru kwa hatua niliopiga katika kibarua changu cha kuitumikia serikali yangu ya nguvu na biashara zangu zimehimarika zaidi
Pili nishukuru kwa mchumba niliempata na mpaka wasaa huu nimefungua vikao rasmi vya harusi
Tatu nishukuru kwa kufanikisha jambo lililonitesa kwa muda mrefu ujenzi wa nyumba yangu na ata sasa nalaza ubavu wangu nyumbani kwangu.
Karibuni wakuu kama mna jambo lolote mlilofanikisha ndani ya 2016 binafsi kwangu umekua ni mwaka mtamu.