[emoji23][emoji23] Somalia Sasa itapata tabu kwa ile boundary dispute.Kwa muda sasa Kenya imekuwa na lengo la kutengeneza bufferzone inayoitwa Jubbaland. Hio buffer zone ni muhimu kwa usalama wa KE. Hongera Madobe sasa njoo tuendelee kucharaza shabab
Jubaland regional leader Ahmed Mohamed Islam known as βAhmed Madobeβ wins re-election in a regional parliamentary vote.
Ahmed Madobe was declared winner in 1st round after receiving 56 votes, more than two-third of the 74 MPs who voted; Anab Mohamed Dahir got 17 votes. pic.twitter.com/Dlwj4Mx49b
β Rashid Bayow (@BayowRashid) August 22, 2019
Infact Jana kulikuwa na celebrations Garrisa na EastlieghHili eneo sasa ni buffer zone, ila hata Wakenya wenye asili ya Kisomali wanapenda iwe hivi ili kukaa mbali na yale mazombi ya akina bibi Faizafoxy
Aisee Afrika ni kubwa sana kuna Jubaland? Duh, nilikuwa sijui sasa nimeelewa kwa nini TZ tuko sadc, huko juu ni mbali sana na shida tupu.
Hata nyinyi mkituletea nyef nyef tunapita nanyi taratibu.Yani muinyang'anye Somalia kipisi chake hivihivi, nitawaona wasomali mdebwedo sana. And why do this, karma isijewatokea kukawa na mombasa republic
Hata nyinyi mkituletea nyef nyef tunapita nanyi taratibu.
Ingieni Somali tuwatambue...nyinyi ni mdomo tu na ule wimbo wa miaka 50 zilizopita za "ukombozi" SI uliona vile vijana waliwachinja JWTZ kule kongo? Je Vita Kama vya Somali SI hata raisi wenu atatekwa nyara na kuzabwa makofi Kisha arejeshwe Hadi ikulu na alshababe.Moto wetu hamuuwezi wewe
Atakuambia walikomboa Africa π π πHata nyinyi mkituletea nyef nyef tunapita nanyi taratibu.
Alafu wakajisahau πππAtakuambia walikomboa Africa π π π
[emoji23][emoji23][emoji23] Utaskia hii ni halali[emoji23][emoji23][emoji23]Hata nyinyi mkituletea nyef nyef tunapita nanyi taratibu.
Aisee Afrika ni kubwa sana kuna Jubaland? Duh, nilikuwa sijui sasa nimeelewa kwa nini TZ tuko sadc, huko juu ni mbali sana na shida tupu.