CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 11,617
- 25,575
Kanoute ana nafuuHabari wakuu.
Leo nimpe somo Ahmed Ally.
Mkuu / MKURUGENZI wa kitengo Cha Habari na Mawasiliano simba.
Nina mengi ya KUKUELEZA lakini si kwa Leo. Afya yangu haipo poa kabisa.
Nimejaribu kutafuta orodha ya Wachezaji wa Simba waliosafiri na timu kwenda Dubai sijapata.
Nimejaribu kutafuta habari ya Wachezaji ambao hawajaenda nimekosa.
Nimejaribu kutafuta habari ya Wachezaji waliopata majeraha.
Moses PHIRI.
Peter Banda
Enock Inonga.
Nimejaribu kuangalia chama alierudi kwao wapi????
Infomatio is power.
Kwa wale wenye kujua Orodha ya Wachezaji WALIOSAFIRI nk naomba msaada.
2.Uongozi wa Simba ACHANENI na magalasa YAFUATAYO.
1. peter Banda.
2. Emarson Okwa.
3. Sadio Kanute.
4. Victor Akpan.
5. Mohamed Ottara nk.
Hawa akina.
Mkude, nyoni, Boko, Kyombo, KIBU,Gadiel, tumewachoka hawana msaada.
Naomba kuwasilisha.
We umeshaambiwa timu ya Simba inaenda Dubai kuweka kambi. Hizo habari za nani kaenda na nani kabaki ni umbea tu sasa. Simba ni mjumuiko wa wachezaji wote.Habari wakuu.
Leo nimpe somo Ahmed Ally.
Mkuu / MKURUGENZI wa kitengo Cha Habari na Mawasiliano simba.
Nina mengi ya KUKUELEZA lakini si kwa Leo. Afya yangu haipo poa kabisa.
Nimejaribu kutafuta orodha ya Wachezaji wa Simba waliosafiri na timu kwenda Dubai sijapata.
Nimejaribu kutafuta habari ya Wachezaji ambao hawajaenda nimekosa.
Nimejaribu kutafuta habari ya Wachezaji waliopata majeraha.
Moses PHIRI.
Peter Banda
Enock Inonga.
Nimejaribu kuangalia chama alierudi kwao wapi????
Infomatio is power.
Kwa wale wenye kujua Orodha ya Wachezaji WALIOSAFIRI nk naomba msaada.
2.Uongozi wa Simba ACHANENI na magalasa YAFUATAYO.
1. peter Banda.
2. Emarson Okwa.
3. Sadio Kanute.
4. Victor Akpan.
5. Mohamed Ottara nk.
Hawa akina.
Mkude, nyoni, Boko, Kyombo, KIBU,Gadiel, tumewachoka hawana msaada.
Naomba kuwasilisha.
ACHA WIVU MZEEWachezaji wenye akili timamu watatafuta Sababu ya kutokwenda Dubai kwasasa. Huwezi kwenda kufanya Kambi ya siku Saba Kwa maelfu ya kilometa wakati wapo mapumzikoni.
Kaka mbona kama umechukia hivi?ACHA WIVU MZEE
Mimi Sina wivu, ao wachezaji hawaendi shopping, ao wanaenda kambini na kuwa kambini katika nchi ya ugeni unakua huna uhuru.ACHA WIVU MZEE
Haya bana kipindi kijacho watasikiliza ushauriMimi Sina wivu, ao wachezaji hawaendi shopping, ao wanaenda kambini na kuwa kambini katika nchi ya ugeni unakua huna uhuru.
Yaani ni mazoezi na kurudi hotel wakati huu ndio muda wa wachezaji kufanya recovery ya mwili.
Kuweka Kambi maanayake mna vipindi zaidi ya kimoja Kwa Siku, baadae wachezaji wanarudi na fatigue [emoji3][emoji3]
Kambi ya siku Saba nje ya nchi izo ni Siasa au biashara ya Ngada.
Mpeleke mdogo wako akacheze bas Kama unaona wote uliowataja hawana msaada ,au wee na Bab ako muende mkazibe mapengo ya hapo kwa msimbazi mnk mmekuwa wanako SanaHabari wakuu.
Leo nimpe somo Ahmed Ally.
Mkuu / MKURUGENZI wa kitengo Cha Habari na Mawasiliano simba.
Nina mengi ya KUKUELEZA lakini si kwa Leo. Afya yangu haipo poa kabisa.
Nimejaribu kutafuta orodha ya Wachezaji wa Simba waliosafiri na timu kwenda Dubai sijapata.
Nimejaribu kutafuta habari ya Wachezaji ambao hawajaenda nimekosa.
Nimejaribu kutafuta habari ya Wachezaji waliopata majeraha.
Moses PHIRI.
Peter Banda
Enock Inonga.
Nimejaribu kuangalia chama alierudi kwao wapi????
Infomatio is power.
Kwa wale wenye kujua Orodha ya Wachezaji WALIOSAFIRI nk naomba msaada.
2.Uongozi wa Simba ACHANENI na magalasa YAFUATAYO.
1. peter Banda.
2. Emarson Okwa.
3. Sadio Kanute.
4. Victor Akpan.
5. Mohamed Ottara nk.
Hawa akina.
Mkude, nyoni, Boko, Kyombo, KIBU,Gadiel, tumewachoka hawana msaada.
Naomba kuwasilisha.
Wameingia Cha kike sanaMimi Sina wivu, ao wachezaji hawaendi shopping, ao wanaenda kambini na kuwa kambini katika nchi ya ugeni unakua huna uhuru.
Yaani ni mazoezi na kurudi hotel wakati huu ndio muda wa wachezaji kufanya recovery ya mwili.
Kuweka Kambi maanayake mna vipindi zaidi ya kimoja Kwa Siku, baadae wachezaji wanarudi na fatigue [emoji3][emoji3]
Kambi ya siku Saba nje ya nchi izo ni Siasa au biashara ya Ngada.
Ngoja wake wakuparueHabari wakuu.
Leo nimpe somo Ahmed Ally.
Mkuu / MKURUGENZI wa kitengo Cha Habari na Mawasiliano simba.
Nina mengi ya KUKUELEZA lakini si kwa Leo. Afya yangu haipo poa kabisa.
Nimejaribu kutafuta orodha ya Wachezaji wa Simba waliosafiri na timu kwenda Dubai sijapata.
Nimejaribu kutafuta habari ya Wachezaji ambao hawajaenda nimekosa.
Nimejaribu kutafuta habari ya Wachezaji waliopata majeraha.
Moses PHIRI.
Peter Banda
Enock Inonga.
Nimejaribu kuangalia chama alierudi kwao wapi????
Infomatio is power.
Kwa wale wenye kujua Orodha ya Wachezaji WALIOSAFIRI nk naomba msaada.
2.Uongozi wa Simba ACHANENI na magalasa YAFUATAYO.
1. peter Banda.
2. Emarson Okwa.
3. Sadio Kanute.
4. Victor Akpan.
5. Mohamed Ottara nk.
Hawa akina.
Mkude, nyoni, Boko, Kyombo, KIBU,Gadiel, tumewachoka hawana msaada.
Naomba kuwasilisha.
Unamzungumzia Barbara Gonzalez?vipi c.e.o aliyepo
Huyo Emarson Okwa ulomwandia hapo ni mchezaji mpya?
Huna akili kama jamaa ako hapo kwenye avatarVyeo vya kupeana weledi utatoka wapi??
Umeshawahi kuhoji ni vipi c.e.o aliyepo aliingiaje pale Simba?
Vipi kuhusu mgunda? Vipi matola? Pale Simba kunanuka rushwa sana