Serikali imeweka masharti: tax cuts ziwezekane tu kama tax base itaongezeka. PS Chris Kiptoo alisema:
“Tutapunguza kodi, lakini kwanza tuongeze compliance na mapato.”
Plans under review:
Income tax 30% → 25% kwa wanaopata ≤ Ksh50,000
Wanaopata ≤ Ksh30,000 exempt
With 2027 elections coming, hii inaweza kuwa strategy ya kisiasa. Ni kwa uchumi au politics?