Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,186
- 906
Mradi wa LNG wa Lindi unaendelea kuelekea hatua muhimu za utekelezaji, ukiwa na uwekezaji unaokadiriwa kuwa zaidi ya Sh trilioni 90 katika uchakataji wa gesi asilia. Wawekezaji wa mradi huo wamewasili Dar es Salaam na kukutana na Waziri, huku wakiiwahakikishia Serikali ushirikiano katika hatua mbalimbali za utekelezaji wa mradi. Uwekezaji huu unatarajiwa kuchochea sekta ya nishati, kuongeza shughuli za kiuchumi na kufungua fursa za ajira na biashara nchini.