kwani lowassa alituambia akishindwa uchaguzi atarudi kuchunga ng'ombe wake, je amesharudi?
kuhusu simbachawene; magufuli yaelekea alikua hajui hali halisi lakini baada ya kuelezwa na akina felichisma mramba pale tanesco imebidi abadili muelekeo.
uteuzi wa prof. muhongo kwenye gesi nimemsifu sana magufuli- sasa gesi yetu ipo kwenye mikono salama!