Kweli ahadi ni deni.
Inaelezwa kijana wa kiume alipotaka kuoa msicha anayempenda,baba wa kijana akakataa. Na walipojaribu kumbembeleza baba ikashindikana.
Hiki ndicho kilichofuatia.
Kuzaa ni karata tatu!
Ila malezi ni upatu. Hawa wamelelewa kwenye kila wanachowish wanapatiwa. Mzee mkoloni kama wa kwangu akikukatalia kitu unakuwa mpolee.