security guard
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 799
- 603
Kununua meli ziwa Nyasa wakati wamalawi wanadai ziwa ni lao!bila shaka itakuwa ile ahadi ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA,
KUNUNUA MELI MPYA ZIWA VICTORIA NA ZIWA NYASA,
NA KUPUNGUZA MFUMUKO WA BEI
bila shaka itakuwa ile ahadi ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA,
KUNUNUA MELI MPYA ZIWA VICTORIA NA ZIWA NYASA,
NA KUPUNGUZA MFUMUKO WA BEI
Ni kweli Mkuu ahadi zote imezitimiza mpaka nyingine ambazo haikuahidi majukwaani kama ya kupeleka watetea haki mabwepande ambayo utekelezwaji wake kwa sasa ni asilimia 100Chama cha mapinduzi kwa kiasi kikubwa kabisa kimetekeleza ilani zake na sasa kinapita kwa kila mwananchi kumueleza yale yaliotekelezeka na kukamilika na yalio karibu kukamilika.
Usikose kusikiliza mkutano wa CCM Kigoma leo ITV saa moja jioni.
Ukweli ndio huu...AHADI NI DENI (A.N.D)
Hahahahah kusema kweli nimeipenda hiyo M. uko juuKweli kabisa na mfumuko wa bei kwa sasa ni 0.0000000000001
Na wananchi wote wanaishi maisha bora na usafiri wa uhakika na chakula cha kutosha. Miundo mbinu iko juu asilimia 99.9
Mishahara ya wafanyakazi wote iko juu hakuna mwenye shida
Hakuna migomo tanzania ya sijui wanafunzi mara madoctor mara walimu mara waendesha mikokoteni
Wanafunzi wanapata mikopo asilimia 99.9 ya kuwawezesha kusoma kwa furaha na madarasa na mabweni yao yana kila kitu kuwawezesha kusoma
Wahadhiri wa vyuo wanalipwa vizuri sana
Ahhhh kweli ahadi ni deni
Nakumbuka JK wakati anazindua bunge mwaka 2005 alisema "...nitapambana na rushwa, hasa zile rushwa nene-nene..."
bila shaka itakuwa ile ahadi ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA,
KUNUNUA MELI MPYA ZIWA VICTORIA NA ZIWA NYASA,
NA KUPUNGUZA MFUMUKO WA BEI