Ahadi katika kampeni

Ahadi katika kampeni

inyi

Member
Joined
Oct 2, 2010
Posts
12
Reaction score
0
Jamani nimelazimika kuandika haya baada ya kufutlia ahadi za wagombea nyazifa mbalimbli katk uchaguzi ujao.
Nilichogundua ni kua bado wananchi wengi wengi haswa wa maeneo ya vijijini hawajui nin maana ya ahadi. Mfao kuna jimbo moja lina barabara ya vumbi tupu toka miaka ya uhuru, lakini kila mgombea anaefika pale huahidi kuitengeneza barabara hyo, wananchi humshangilia as if barabara ni shati kua atalinunua na kuwapea. maeneo mengi pia ni hivihivi.

sasa swali ambalo me najiuliza ni kua, ahadi ni dhamira ya mtu kuleta maendeleo endapo akipewa dhamana au ni nyenzo ya kupata kura??
 
Yaani tabu tupu angalia kipande cha cha lami mpaka leo Njombe hadi makete ndi ndoto na JK bado anaahidi kukijenga tuu
 
Halafu wakuu kuna tatizo la kujua wajibu wa serekali kwa raia ni nini. Nadhani hizo ahadi ni wajibu wa serekali kwani kama serekali haitaki kujenga shule au barabara isitoze kodi kwa wananchi wake maana kama itakuwa inatoza kodi bila kuzirudisha kwa wanannchi kwa njia ya huduma itakuwa inawaibia raia.
 
JK kwa ahadi kweli chiboko leo, kawaahidi wakazi wa Kongwa kuwajengea barabara ya lami kutoka Mbande hadi Kongwa mjini utadhani hakuwahi kutoa ahadi hiyo 2005 hivi hajioni jinsi alivyo muongo, badala ya kueleza ili kuwaje ikashindikana?
 
61234_114566821932766_110866455636136_106200_3453836_n.jpg
 
Back
Top Bottom