Ahadi hewa ya ajira

Dah nimekimbia kufungua hii thread nikidhan tayar wamesha tangaza ajira kumbe doooh. .!!!
 
Hebu fikiria kama lengo ni kuajiri 70,000 je huoni ukisubiri hadi januari utakuwa umeokoa fedha nyingi sana? mf. kama mshahara wa mtumishi mmoja ni tshs 600,000 ,kwa watumishi 70,000 utakuwa umeokoa tshs 252,000,000,000/-.unaonaje?
 
tulia zinachapishwa pesa za kuwalipa usiwe na haraka tuliza akili tunza vizuri vyeti vyako na kwa taarifa tunavyoamia dodoma tunahakiki upya kwanza mana huku hewa walikua wengi kama ujuavyo wakati wa kuhama vingi vinaonekana havina thamani kuingia nyumba mpya kwa hiyo atuajiri tutapunguza
 
Wewe unayesema Tamisemi wanakusanya taarifa za waalimu waliopo inatakiwa ujiulize kwenye UHAKIKI HEWA walikuwa wanataka nini
 
Matako mengi hewa?, unamanisha kichwa chake kimekaaje?
 
Hii serikali kila siku sijui tumeokoa sh ngapi toka kwa hao watumishi hewa elfu 16 ila haisemi ni sh ngapi imeokoa toka kwenye ajira elfu 71 walizozisitishwa toka mwezi 6 zilipopaswa kuwa zimetoka mpaka sasa
 
Mliokaribu na Rais mwambieni kama yeye alivyo na mwili wenye nyama ambao huhisi njaa,huwa na hasira,chuki n.k nasi Tunateseka na njaa,tuna hasira na unatupanda chuki dhidi ya serikali yako kwa kututesa,kutunyanyasa na kutudhalilisha kisaikolojia ruhusu ajira kwa wahitimu labda tutapata faraja ya moyo
 
Ata kama zitachelewa zitatoka mwaka kikubwa ni kwamba atatoa ajira tu hawez kuchaa kutoa kabisa..tuvumilie
 
 
Mtaishi kama mashetani(tutaishi) huyu rais wananchi wakiumia au kulia lia yeye ndio anafurahi
 
Naona walimu mnafarijiana huko kwenye magrupu yenu ya watsapp...ila anayekua ajira ni lini ni Magufuli tu..
 
tumepewa Adhabu ya kutoajiliwa kisa watumishi hewa wao wangetuajili tu ila waendelee kuwatafuta watumishi hewa huko nyuma waliosababisha kwan nasisi tumekosa nn na pia wabadili mfumo wa ajira ili kupunguza hili wimbi la watumishi hewa maana limetucost wote na tusiokuwemo
 
hujateswa na uwepo wa watumishi hewa, bali upungufu wa pesa! poleni kwa kuvumilia hizi futuhi za kila siku. wanakuambia wako wanakusanya data za uhitaji ktk vituo vya kazi, hivi kipindi wanaenda kukagua watumishi hewa, wasio na sifa na wenye vyeti feki. data wanazo ila pesa hakuna
 
TRA kila mwezi wanavuka malengo mkuu hizi hela au ni za viwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…