W Wajad JF-Expert Member Joined Jul 20, 2012 Posts 1,321 Reaction score 605 Nov 16, 2012 #1 Ahadi ni kawaida kwa binadamu hilo ufahamu lakini utekelezwaji wa ahadi wahitaji wakati na bahati. Ebu tupia ahadi uliyowahi kuahidiwa na mpenzi wako, kiongozi wako yeyote, mzazi, rafiki, ndugu, jamaa, nk. ambayo haikutekelezwa.
Ahadi ni kawaida kwa binadamu hilo ufahamu lakini utekelezwaji wa ahadi wahitaji wakati na bahati. Ebu tupia ahadi uliyowahi kuahidiwa na mpenzi wako, kiongozi wako yeyote, mzazi, rafiki, ndugu, jamaa, nk. ambayo haikutekelezwa.