Hebu google 'kegel exercise'
Ili kupata matokeo inachukua miezi 6+ lakini inasaidia sana. Mfundishe kufanya hilo zoezi na wewe pia ufanye itawasaidia kwenye kuji-control.
Kiufupi: wakati wa kutoa haka ndogo, hakikisha kibofu kimejaa (umebanwa). Achia haja kwa sekunde kadhaa, kisha ikate kabisa kwa sekunde 5. Endelea hivyo hadi utakapomaliza. Wakati uko bored kaza misuli na kuiachia (works when u ar talking to a boring person, safarini, kikaoni etc).
Urudi kutupa feedback (source: mzizimkavu) lol!