Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
ushindwe na ulegee!
maana ya majina wawaitayo wapenzi wenu ndio haya :
Daring = Kubwa jinga.
Sweet = Zezeta.
Husband = Buzi.
Honey = Kimeo.
Dear = Wakuzugia.
My love = Wa usiku.
La azizi = Wa kutanulia mtaani.
Barafu wa moyo = ----.
Baby = Mchovu.
Huby = Huna lolote
Je? Wako anakuita kwa jina gani.
mie wangu ananiita No no no ah jamani!
ah ah! nashukuru mkuu unamuita kwa jina lake
Mama... nukta!!!
ushindwe na ulegee!
wangu namuita kipipi-moyo
utajiongeza mwaka huu nakwambia!
na upara umuote
utosini na uchogoni khaaa!
hiyo umesema wewe!
Mi yangu macho tu hapa! !!!!ah ah ah! nisutie huyo shemeji yangu
Mi yangu macho tu hapa! !!!!