Kuna bi mkubwa alikua Wizara ya Kilimo ni mtaalamu. Ngoja nikupe namba yake. 0754 203361 au 0783 203361. Anaishi hukohuko. Anajua sana kazi yake.Naitaji Agromist kwa kazi ya muda mfupi ya kuset bustani ya mboga mboga nyumbani kwangu Bunju B. Atalipwa kwa kazi hii kwani ni ya muda mfupi.