Agriculture Economics And Agri Business

May 18, 2014
13
3
Habari Zenu Wapendwa...

Naomben Mnisaidie Kwa Anaefaham Hyo Kozi Hapo Juu Anifahamishe About Merits,demerits And Future Outlook (ntafanya Kaz Gan Nkimaliza Na Upatkanaji Wa Ajira) Yke Ikoje Pia Mxul Wake Uko Vp Hpo SUA Na Mambo Mengne Mnayofaham Kuhusu Hiyo Facult Kawa Vle Ushauri Kama Ni Nzur Au Vp,,!
Naomba Msaada Wenu Jaman
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom