ok.🐒Long and short terms trending
Kiwanda cha kupika habari
Ghala la kuzitawanya
Kuna za jumla
Kuna za rejareja
Za kusadikika
Za halisi
Nani ni nani kwenye nini.. !? Jipu lililodhaniwa limevia kumbe lilikuwa linaiva taratibu..
Sasa linatumbuka.. Acha kabisa huo usaha wake utakavyoruka mbali.. Utawapata waliomo na wasiokuwepo
Kama shindano la mtoano.. Nitoe nikutoe.. Mtoe tukutoe🤣..! Haina comeback hii.. Nimwagie povu nikumwagie tope
Ukiona kichuguu tambua kuna mchwa.. Ukiona mchwa jua kuna malikia na walinzi wake.. Malikia tipwatipwa kunya kulala
Nifitini nikufitini.. Nipige kulia nikipige kushoto.. Kama kucheka ni kwa zamu basi hata kulia pia..!
Ni kipindi cha kung'oa magugu na miti isiyozaa.. Ila kama ni zilezile bongo movie basi this time wametupata.. Na huyo director apokee minyota yakwe
Kesho kinang'oka kisiki kingine and very soon Mbuyu!View attachment 3656815
Ila hii barua ukiiangalia mara mbili mbili imekaa kihuni sana. Ofisi ya makamu wa rais haina address?Tumechanganyikiwa wote.. Sisi na hata wao wenyeweView attachment 3656824
Siyo barua hiyo.Ila hii barua ukiiangalia mara mbili mbili imekaa kihuni sana. Ofisi ya makamu wa rais haina address?
mbona hajatoka kukanushaSiyo barua hiyo.
sijui nidokeze😉Unajua alipo?😀
Barua ilisha andikwa, hiyo ni taarifa kwako wewe mwananchi.mbona hajatoka kukanusha
Hapana. Barua alishaandika tayari. Rudia kusoma sentesi/aya ya kwanza.Ni barua lakini imekosa vigezo stahiki
ngoja ngoja ni mbaya, mi sizipendiUpe muda wakati.. The surprise yet to come😀
Cc Mbaga JrLong and short terms trending
Kiwanda cha kupika habari
Ghala la kuzitawanya
Kuna za jumla
Kuna za rejareja
Za kusadikika
Za halisi
Nani ni nani kwenye nini.. !? Jipu lililodhaniwa limevia kumbe lilikuwa linaiva taratibu..
Sasa linatumbuka.. Acha kabisa huo usaha wake utakavyoruka mbali.. Utawapata waliomo na wasiokuwepo
Kama shindano la mtoano.. Nitoe nikutoe.. Mtoe tukutoe🤣..! Haina comeback hii.. Nimwagie povu nikumwagie tope
Ukiona kichuguu tambua kuna mchwa.. Ukiona mchwa jua kuna malikia na walinzi wake.. Malikia tipwatipwa kunya kulala
Nifitini nikufitini.. Nipige kulia nikipige kushoto.. Kama kucheka ni kwa zamu basi hata kulia pia..!
Ni kipindi cha kung'oa magugu na miti isiyozaa.. Ila kama ni zilezile bongo movie basi this time wametupata.. Na huyo director apokee minyota yakwe
Kesho kinang'oka kisiki kingine and very soon Mbuyu!View attachment 3656815
Ni nini hicho?Siyo barua hiyo.