Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) jimbo la Tabata Segerea, Agness Kaiza, amekanusha madai kwamba chama chake si mbadala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kaiza amesema mtazamo huo si sahihi kwani CHAUMMA kina dira, sera, na mikakati yake ya kipekee inayolenga kuleta mabadiliko halisi kwa Watanzania.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amefafanua kuwa lengo la chama hicho si kushindana kwa sura au jina na CCM, bali kutoa mbadala wenye maono mapya kwa taifa, ukizingatia haki, uwajibikaji, na maendeleo shirikishi kwa wananchi wote.