Agizo la Waziri Mkuu kwa TAKUKURU kuhusu rushwa za uchaguzi mkuu lianzie Iringa

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
18,670
22,260
Leo Jumapili Waziri Mkuu ameiagiza TAKUKURU kuwashughurikia wanaotoa rushwa kwa ajili ya uchaguzi, Ijumaa Polepole (CCM) aligawa Bajaji kwa vijana mjini Iringa, Jana Jumamosi akajitokeza anayejiita Nyerere (CCM) akidai atalichukua jimbo lake la Iringa kutoka kwa Msigwa.

Kwa mwenendo huu TAKUKURU wanawajibika kufanya uchunguzi ili kujua kama kuna uhusiano wa Polepole, Bajaji, Steve Nyerere na uchaguzi utakaompa ubunge.

Bajaji husika zenye rangi ya kijani na njano hivi sasa zinang'aa mjini Iringa.
 
Back
Top Bottom