Agiza gari moja kwa moja toka japan

Agiza gari moja kwa moja toka japan

nicholas john

Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
27
Reaction score
0
Za saa hizi wana jf,Kwa jina naitwa Nicholas kama inavyoonekana kwenye profile name yangu,mimi ni mfanyabiashara na mwanafunzi wa ifm mwaka wa mwisho katika fani ya sayansi ya computer. Kibiashara najishughulisha na uagizaji wa magari kutoka Japan na ndio lengo la kutuma post hii ili kuweza kukutana na wateja wangu pia.Nachofanya ni kwamba tunakubaliana na mteja kuhusu gari anayohitaji kisha naingia kwenye website na kulitafuta gari hilo kwa price ambayo mteja ametaka na specification zingine,baada ya hapo kuhusu kuagiza na mengineyo ananiachia mimi na baada ya kama mwezi mmoja hilo gari litakuwa limefika na mteja atakuwa akijulishwa kwa maendeleo yote ya ununuzi wa gari hadi kufika kwake hapa.Kwa yeyote anayehitaji kufahamu zaidi au kuagiziwa gari please asisite kunipm au awasiliane nami kupitia namba 0719974886.Mimi napatikana Kigamboni Dar es salaam,Asanteni.
Nimekuwa nikipigiwa simu na kuulizwa suala la usalama wa hela na uhakika wa jambo lenyewe,ningependa kuwajulisha kuwa kabla hujatoa hela yako ni lazima tuonane na nikupeleke kwenye ofisi ya mwanasheria aliyesajiliwa iliyopo posta ambapo hapo utaelezwa process zote kisha utaamua mwenyewe uingie mkataba nami ili nikuagizie gari kwa dhamana ya ofisi hiyo na nimefanya hivyo makusudi ili kuweka usalama baina yangu na mteja wangu .Magari yanapatikana tena kwa bei rahisi na unaweza kuokoa shilingi milioni 2 hadi tano kwa kuagiza kuliko kununua kwenye yard,kwa kuthibitisha hilo ulizia bei ya gari utakalo kwenye yard kisha nitumie msg kwa namba yangu hapo juu au nipigie simu nikujulishe naweza kukuletea hilo gari kwa shilingi ngapi.Mfano waweza kupata TOYOTA Alteza kwa mil.10.5 badala ya mil.12 yard,au Toyota caldina kwa mil.10 badala ya 11.5 yard,au Toyota landcruiser prado ya mwaka 1995 kwa sh.mil.21 badala ya mil.25 yard.Na mengine mengi tu kwa bei rahisi
 
Hii imekaa vizuri. Nakupongeza na tafadhali sana endelea kuwa mzalendo halisi ili kusaidia watanzania wenzako kukabiliana na mchakato wa maisha. Tutakutafuta ili, binafsi naahidi nitakupigia nimechukua namba yako. nahitaji kununua gari lakini unfika wakati naona mauza mauza nianpoona baadhi ya jamaa zangu wanapigwa chini kwa kuingizwa mkenge.
 
Imetulia hii nitakutafuta mkuu
 
Na grande gx 110 Kwa bei gani mkuu?
Aisee samahani nilisafiri nilipeleka gari mkoani kilombero huko,bei ya gx100 ni milioni nane na laki tano yaani hapo hadi insurance nakupa gari unaingia nalo barabarani
 
Hii imekaa vizuri. Nakupongeza na tafadhali sana endelea kuwa mzalendo halisi ili kusaidia watanzania wenzako kukabiliana na mchakato wa maisha. Tutakutafuta ili, binafsi naahidi nitakupigia nimechukua namba yako. nahitaji kununua gari lakini unfika wakati naona mauza mauza nianpoona baadhi ya jamaa zangu wanapigwa chini kwa kuingizwa mkenge.
Asante kaka kwa kunitia moyo,tuwasiliane utafahamu mengi tu.
 
Hongera sana kaka endelea na uzalendo tunaitaji wazalendo kama nyinyi
 
Mkuu wewe ni agent wa carview trade au Be forward?
 
Hii imekaa vizuri. Nakupongeza na tafadhali sana endelea kuwa mzalendo halisi ili kusaidia watanzania wenzako kukabiliana na mchakato wa maisha. Tutakutafuta ili, binafsi naahidi nitakupigia nimechukua namba yako. nahitaji kununua gari lakini unfika wakati naona mauza mauza nianpoona baadhi ya jamaa zangu wanapigwa chini kwa kuingizwa mkenge.

Wanaingizwa mkenge kivipi
 
Hongera sana kaka.
Nambie kuhusu Fuso Fighter Tipper hizi za kawaida za kubebea mchanga, not double diff.
Naulizia hapa kwa faida ya wengi kaka.
 
Ungekuwa muungwana ungetoa ujanja wa kuagiza kila mtu aagize kivyake sio kupitia kwako it doesnt make any difference yard na wewe kwenda zako hukoo
Za saa hizi wana jf,Kwa jina naitwa Nicholas kama inavyoonekana kwenye profile name yangu,mimi ni mfanyabiashara na mwanafunzi wa ifm mwaka wa mwisho katika fani ya sayansi ya computer. Kibiashara najishughulisha na uagizaji wa magari kutoka Japan na ndio lengo la kutuma post hii ili kuweza kukutana na wateja wangu pia.Nachofanya ni kwamba tunakubaliana na mteja kuhusu gari anayohitaji kisha naingia kwenye website na kulitafuta gari hilo kwa price ambayo mteja ametaka na specification zingine,baada ya hapo kuhusu kuagiza na mengineyo ananiachia mimi na baada ya kama mwezi mmoja hilo gari litakuwa limefika na mteja atakuwa akijulishwa kwa maendeleo yote ya ununuzi wa gari hadi kufika kwake hapa.Kwa yeyote anayehitaji kufahamu zaidi au kuagiziwa gari please asisite kunipm au awasiliane nami kupitia namba 0719974886.Mimi napatikana Kigamboni Dar es salaam,Asanteni.
Nimekuwa nikipigiwa simu na kuulizwa suala la usalama wa hela na uhakika wa jambo lenyewe,ningependa kuwajulisha kuwa kabla hujatoa hela yako ni lazima tuonane na nikupeleke kwenye ofisi ya mwanasheria aliyesajiliwa iliyopo posta ambapo hapo utaelezwa process zote kisha utaamua mwenyewe uingie mkataba nami ili nikuagizie gari kwa dhamana ya ofisi hiyo na nimefanya hivyo makusudi ili kuweka usalama baina yangu na mteja wangu .Magari yanapatikana tena kwa bei rahisi na unaweza kuokoa shilingi milioni 2 hadi tano kwa kuagiza kuliko kununua kwenye yard,kwa kuthibitisha hilo ulizia bei ya gari utakalo kwenye yard kisha nitumie msg kwa namba yangu hapo juu au nipigie simu nikujulishe naweza kukuletea hilo gari kwa shilingi ngapi.Mfano waweza kupata TOYOTA Alteza kwa mil.10.5 badala ya mil.12 yard,au Toyota caldina kwa mil.10 badala ya 11.5 yard,au Toyota landcruiser prado ya mwaka 1995 kwa sh.mil.21 badala ya mil.25 yard.Na mengine mengi tu kwa bei rahisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom