Utakuwa miongoni mwa wagonjwa wanaoenda hospital wakijua wanaumwa nini.zaidi Pima na VVUJaman wadau nisaidieni kwa hili hasa doctors, kibaya ni kwamba masomo ya science mimi yalinishinda kabla sijavuka form two nilishachagua naelekea wapi, kwenda moja kwa moja kwenye mada, ninajikuta naumwa sana, nimeenda Aghakan hosp mara zaidi ya 7, nimepima malaria,uti, nikafanya mpaka FB picture kila kitu wananiambia negative, lakini nikienda maabara za kawaida wananiambia una malaria nimeenda maabara 3 tofauti kujua kwamba report itatofautiana ila kila moja inasema nina malaria 4, nikaenda agakhan ingine tofauti na nilioenda mwanzo wakaniambia 'NEGATIVE' Sasa hapa ikabidi niongee na doctor, alichoniambia nikwamba dunian hamna malaria 1,2,3 wala 4, malaria lazima zianzie 70...anasema hao walioniambia nina malaria 4 ni waongo sio kweli wamekisia tu, hebu wataalam hasa ma doctor tusaidieni kwenye hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siku hizi ukipimwa ukosekani na UTI. Malaria imepungua kama unavyosema.Maambukizi ya Malaria inasemekana yamepungua sana .....
Kuna uwezekano pia na upimaji umebadilika.
Wenye elimu juu ya hili toeni maoni yenu.
Nilishapewa ushauri kuwa hospitali 2 kubwa Dar ndio zinaweza kunipa majibu ya kweli. ..mojawapo ni hiyo uliyokwenda wewe mara 7.
Mkuu siku hizi ukipimwa ukosekani na UTI. Malaria imepungua kama unavyosema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili napima kila miezi 3 na ni rotation ya maisha kwanguUtakuwa miongoni mwa wagonjwa wanaoenda hospital wakijua wanaumwa nini.zaidi Pima na VVU
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa na matatizo,anayetakiwa kupima kila miezi 3 ni mtu aliyekwenye risk kubwa(risk behaviour) tofauti na hapo ni kisabengo .
Hutaacha kuutafuta ugonjwa mpaka uupate! Kama si kiranga cha kuona manesi na nguo zao nn cha ziada? Tena kama ni Me ujue kuna umri wa kuumwa. Me kamili hasumbuliwi na magonjwa mpaka late 40s, na kama hukujifuja ujanani unagota 60 kabisa ndo hayo mauzauza yanaanza kuandama mwili. Kwa Ke miili yao ni delicate kidogo lakini sio kwa kiwango hicho. Labda awe awejaaliwa uzazi wa kisu ndo mambo huwa mengi.Utakuwa na matatizo,anayetakiwa kupima kila imezima 3 ni mtu aliyekwenye risk kubwa(risk behaviour) tofauti na hapo ni kisabengo .
Unachotafuta utakipataJaman wadau nisaidieni kwa hili hasa doctors, kibaya ni kwamba masomo ya science mimi yalinishinda kabla sijavuka form two nilishachagua naelekea wapi, kwenda moja kwa moja kwenye mada, ninajikuta naumwa sana, nimeenda Aghakan hosp mara zaidi ya 7, nimepima malaria,uti, nikafanya mpaka FB picture kila kitu wananiambia negative, lakini nikienda maabara za kawaida wananiambia una malaria nimeenda maabara 3 tofauti kujua kwamba report itatofautiana ila kila moja inasema nina malaria 4, nikaenda agakhan ingine tofauti na nilioenda mwanzo wakaniambia 'NEGATIVE' Sasa hapa ikabidi niongee na doctor, alichoniambia nikwamba dunian hamna malaria 1,2,3 wala 4, malaria lazima zianzie 70...anasema hao walioniambia nina malaria 4 ni waongo sio kweli wamekisia tu, hebu wataalam hasa ma doctor tusaidieni kwenye hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya high risk behaviour?Hutaacha kuutafuta ugonjwa mpaka uupate! Kama si kiranga cha kuona manesi na nguo zao nn cha ziada? Tena kama ni Me ujue kuna umri wa kuumwa. Me kamili hasumbuliwi na magonjwa mpaka late 40s, na kama hukujifuja ujanani unagota 60 kabisa ndo hayo mauzauza yanaanza kuandama mwili. Kwa Ke miili yao ni delicate kidogo lakini sio kwa kiwango hicho. Labda awe awejaaliwa uzazi wa kisu ndo mambo huwa mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauliza umri wangu ukaujua?Hutaacha kuutafuta ugonjwa mpaka uupate! Kama si kiranga cha kuona manesi na nguo zao nn cha ziada? Tena kama ni Me ujue kuna umri wa kuumwa. Me kamili hasumbuliwi na magonjwa mpaka late 40s, na kama hukujifuja ujanani unagota 60 kabisa ndo hayo mauzauza yanaanza kuandama mwili. Kwa Ke miili yao ni delicate kidogo lakini sio kwa kiwango hicho. Labda awe awejaaliwa uzazi wa kisu ndo mambo huwa mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app