No no no rungu sio silaha kabisaaaaujasusi bila teknlolojia huna tofauti na sungusungu anayetumia silaha aina ya rungu, kwasababu wote mko primitive.
Rungu ni silaha yakizamani ambayo haihitaji darasa namna ya kuitumiaNo no no rungu sio silaha kabisaaaa
UBORA WA UJASUSI UNAENDANA NA UBORA WA TEKNOLOJIA, UKWELI MCHUNGU NI KUWA TUKO KATIKA TECHNOLOGICAL ERA, MAMBO MENGI YANAIMARISHWA NA KUBOMOLEWA NA SAYANSI, SIKU HIZI HAKUNA MAMBO YA KUMDUKUA ADUI KWA KUTUMIA WATU WENGI KAMA ZAMANI, NOWDAYS NI MWENDO WA RANSOMWARE, DRONES, TAYARI TAARIFA USHAINYAKA, HAKUNA KINACHOIGIZWA KIKAWA KIMETOKA KWENYE HAMNA, SWALI LA KAWAIDA TU KATIKA ZILE MOVIE ZA HOLLYWOOD KILA MARA ADUI MKUBWA WA INTELIJENSIA KWA MAREKANI NI URUSI, KWANINI ISIWE KENYA?? UGANDA AU ZAMBIA?? UKWELI MCHUNGU NI KUWA BORA HUFAHAMU BORA, NA UKIZUNGUMZIA MSIMAMO MBONA KUNA SVR NI DOUBLE AGENTS NA CIA NI DOUBLE AGENTS?? MSIMAMO UPI UNAZUNGUMZIA?? HIVYO VYOTE VINA LEAK KUTOKANA NA UWEZO WA TECHNOLOGY, KINGINE NI KUWA MIFUMO YAO HUINGILIWA NA SIASA PIA, ILA SIASA ZENYW MASLAHI YA TAIFA ZAIDI NA SI BINAFSI AU KI CHAMA.Habari za kutwa wana Jf, yawezekana wewe Kama watu wengine wengi umekuwa ukitazama Hollywood movies za agents mbalimbali wa CIA, na ulivutiwa na uwezo wao wa kufikiri kutenda na ku "imagine" ,ukuiishia hapo Kila unapokaa kwenye kijiwe(Nina Imani baada ya kazi) pale ambapo mada kuhusu uwezo wa kiintelejensia za ughaibuni, umekuwa kinara wa kusema "weee marekani watu wabaya,wanaweza waka 'calculate' hadi speed ya mharifu" .Si wewe tu hata mini nimezisikia na mwisho nikazipuuzia..
#Sababu ya kuzipuuzia
Kwa nchi za ughaibuni especially U.S, mashirika ya kijasusi yanafanya kazi bila kuingiliwa na siasa, mahaba yaliyopitiliza na political infatuation.
Ni kwamba mashirika haya mfumo wake wa ufanyaji kazi ni wa siri mno. Hata ikitokea either mtu baki au ofisa akajaribu kufukunyua fukunyua mambo yao, basi kifo chake Kiko peupe. Ingawa Sina uhakika (<50%), inasadikika Raisi wa marekani Kennedy aliuawa na majasusi wa CIA na kituko ni kwamba mtu aliyemuua aliachiwa hivi karibuni akidaiwa kuwa na matatizo ya akili.
Kutokana na misimamo ya Agents wa CIA, shirika hilo limekuwa likiogopwa sana. Kama na sisi technologically tungekuwa tume advance na kuacha kuwa na Political infatuation, majasusi wangekuwa na misimamo ama kweli tungefana.🤛🎩
Hapana aisee kuna mtu hata uje na nn utatepeta rojorojo. Sasa ndo useme rungu noRungu ni silaha yakizamani ambayo haihitaji darasa namna ya kuitumia
Unajua kirefu Cha TISS?tanzania hakuna majasusi, kuna mashushushu,, majasusi ni wale wanaovuka mipaka ya nchi.
CIA wapo kila mahalo wanaongea kila lugha duniani pamoja na Mambo mengine hizo balozi za wamarekani dunia nzima kazi yao Ni ku recruit na kuratiba baadhi ya mipango. Kuna CIA wakisomali,Kuna CIA wakikorea Kuna CIA wa kitanzania. Wana recruit kulingana na mahitaji. Unaweza kuchukuliwa hapa Dar kwenda kusoma Ujerumani udakitari au uhandisi ukapewa training zote badae ukatumika vilivyo Kama agent sehemu yoyote ambayo utafit utapelekwa kwa special missionHawa wakwetu tunapiga nao mbege huku kitaa unataka wafanane na CIA acha utani mzee
Ole Sabaya, Ramadhani Ighondu na yule aliemtolea Nape bastola, TISS gani hiyo ni takataka kabisa mavi ya popoShirika la kijasusi la Tanzania ni agent wa CCM