Nimekuwa nikiangalia matangazo mengi kuhusu mapenzi hapa JF na nikagundua kwamba mwanaume anapotafuta mchumba hutafuta aliye chini ya umri wake na mwanamke naye hutafuta mtu mwenye umri zaidi yake je kuna mtu anaweza kunielimisha juu ya hili Asante haya jamani msaidieni mi nmefanya kwa nilivyoelewa