Agawa nusu ya utajiri wake kwa masikini

Agawa nusu ya utajiri wake kwa masikini

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,692
Reaction score
14,079
Mfanyabiashara mweusi mkazi wa Afrika Kusini, ndugu Patrice Motsepe, ameamua kugawa sehemu ya utajiri wake (nusu kwa nusu) ili kuwasaidia masikini wa nchi yake . Utajiri huo utaelekezwa kwenye elimu na afya.

Maoni yangu:
Huyu jama amegundua siri ya utoaji baada ya muda mfupi pengine atakuwa katika matajiri top wa dunia yetu. Siri hii wengine huiita Karma, wengine echo, wengine baraka, na kwa wao ni ubuntu spirit.

Na wewe anza kutoa, unashangaaa!
 
Ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia ktk ufalme wa Mungu
 
Gawa nusu ya nauli yako ya daladala uone kama italipa. Humjui konda kwa rangi yake wewe.
 
Ukitoa kwa moyo lazima upate mara mbili ya kile ulichotoa na hii haijalishi ni imani gani upo.
 
Mengi anatoa kwa maskini na watu wananunua kwa wingi Cocacola na Maji ya Kilimanjaro vs. cola na uhai.Kazi kwako
 
Mfanyabiashara mweusi mkazi wa Afrika Kusini, ndugu Patrice Motsepe, ameamua kugawa sehemu ya utajiri wake (nusu kwa nusu) ili kuwasaidia masikini wa nchi yake . Utajiri huo utaelekezwa kwenye elimu na afya.

Maoni yangu:
Huyu jama amegundua siri ya utoaji baada ya muda mfupi pengine atakuwa katika matajiri top wa dunia yetu. Siri hii wengine huiita Karma, wengine echo, wengine baraka, na kwa wao ni ubuntu spirit.

Na wewe anza kutoa, unashangaaa!

Kweli kabsaa, UTASHANGAA!:becky:
 
Patrice Motsepe akiwa na familia yake
 
Attachments

  • 1432918897651.jpg
    1432918897651.jpg
    7.3 KB · Views: 863
MUNGU aendelee kumbariki tena sana. Siri ya kibarikiwa ni kutoa kwa nguvu na furaha ukiwa na amani moyoni.
 
Nikaja speed nikidhani ni chokor Dr Slaar!!
 
Mengi anatoa kwa maskini na watu wananunua kwa wingi Cocacola na Maji ya Kilimanjaro vs. cola na uhai.Kazi kwako
Kwa kuwa Mengi hujionyesha katika TV,uliza jinsi kila ijumaa wasiojiweza wanauliza Bakhresa kasali wapi wapate sadaka
 
Back
Top Bottom