Kwa kuwa upo Shinyaga, nakushauri uende Bugando mkuu!
Pale wanavifaa vizuri zaidi kufanya Audiometry pamoja na Tymponemetry.
Kama una Severe Hearing Loss, utatibiwa. Na pia kama una Hearing impairment, utapimwa na watajua nature ya tatizo lako, n kukushauri. Kama tatizo lako litakuwa kubwa sana, unaweza nicheki PM.
Kila la kheri mkuu.