kunze
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 400
- 472
Tafadhali sana,wanaofahamu kuhusiana na suala hili,hebu watujuze sisi wakazi wa mikoa sambamba na bahari maana kila siku supu ya kibua na chapati,kumbe watoto tutawasikia tu wakilia kwa jirani.View attachment 845197
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app