Hayo mambo ya kizanzibari ndo yepi hayo?wanawake wetu wa sasa hivi majanga! kisu hakiwezi kuwaepaka. unakuta mwanamke mimba ikiingia tu basi hapo mpaka ikifkika miezi 9 hataki chakula kingine yani hapo ni mwendo wa chipsi zege! sasa huyu nguvu ya kuzaa kawaida ataitoa wapi?? halafu siku hizi wengi wao wanaendekeza sana mambo ya kizanzibari ndio maana wanashindwa kujifungua kwa njia ya kawaida. mkuu wape salam zao
wanawake wetu wa sasa hivi majanga! kisu hakiwezi kuwaepaka. unakuta mwanamke mimba ikiingia tu basi hapo mpaka ikifkika miezi 9 hataki chakula kingine yani hapo ni mwendo wa chipsi zege! sasa huyu nguvu ya kuzaa kawaida ataitoa wapi?? halafu siku hizi wengi wao wanaendekeza sana mambo ya kizanzibari ndio maana wanashindwa kujifungua kwa njia ya kawaida. mkuu wape salam zao
Mazoez mkuu yanaumuhim sana kwa mwanamke mjamzito mwili unakuwa flexible pamoja na ujauzito anakuwa na uwezo wa kufanya shughuli za hapa na pale mfano mzuri wale kina mama machinga wa matunda na mihogo sidhan kama afya zao zinateteleka wale kipind cha ujauzito na wakat wa kujifungua maana kutembea tu ni zoezi tosha husaidia kukaza misuli, hayo ni kwa mtizamo wangu subiri wengne uwasikieDAUDI, unaamin kuwa chakula na mazoezi ndio vya kuzingatiwa zaidi?