mwangalizi
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 842
- 512
Wana jamii narudi tena kivingine; bado ninaamini ili kuilinda afya ya mama Tanzania ni vema sasa tukafuta rasmi huu MFUMO WA VYAMA VINGI VYA SIASA!
Kwanini nashauri hivi?
1. Uanzishwaji wa mfumo tulio nao ulipingwa tangu mwanzo na kama 80% ya wenye nchi. Ndipo kwa mara ya kwanza tukawa na wachache wape kutokana na mashinikizo ya mataifa ya magharibi, baba wa Taifa aligota.
2. Umoja wa Kitaifa upo hatarini kutoweka (kama bado). Soma tu humu ndani maoni ya watu pale anapopata janga mtu wa ccm au chadema! Comments zinazotoka hadi shetani anatushangaa.
3. Uongozi wenye uthubutu wa awamu ya tano. Maana tunaamini kwa rasilimali zetu tunapaswa kufadhili, hadi wazungu.
4. Idadi ya kutosha ya wabunge wa ccm kuweza kuanzisha mchakato wa kubadili sheria mama ili tuwe na chama kimoja tu.
NINI KITAFUATA TUSIPOFANYA HAYA?
Natumai hatutakuwa na tofauti sana na mataifa mengine duniani, pengine vikazaliwa vikundi vya waasi humu nchini, tukaanza kuishi kwa kuviziana ilhali Tanzania ni moja na hakuna nyingine tena! Eeh Mola tuepushe hili lisije tokea.
MAMLAKA HUSIKA, FUTA MULTI PARTY SYSTEM! YA KAZI GANI? TUNA MAMBO MUHIMU ZAIDI KAMA NCHI.
Asanteni.