Sasa awaepuke, manake kawabana bandarini, Kariakoo sasa hivi hamna bidhaa mbalimbali kutoka china karibu mwezi sasa hii inatokana na Dr.Mwakyembe kuwabana jamaa wa HSC ambao ni mawakala wakubwa bandarini.......walikuwa wanadanganya bidhaa kwenye makontena ili kukwepa kodi. Sasa wanahaha Mjomba anawakingia kifua ila ni noma....
Mwakyembe ajihadhari kama mnavyojuwa tena mwigulu karudi kutoka mafunzo maalumu.........sijui atakujaje jushughulikia watu...............CCM walianza na Kolimba.....Kombe....Kubenea....Mwakyembe....Ulimboka..........Kibanda.........sasa tuwe makini manake hali ni tete bado Dr.Anawindwa tumuombee.....!!!!!!!!