Afya ya akili(mental health)

Afya ya akili(mental health)

moonlightj12

Member
Joined
Dec 6, 2022
Posts
33
Reaction score
90
Habari Wana jamvi,

Msongo wa mawazo na huzuni ni jambo ambalo karibia kila mtu anapitia, ila pengine tunatofautiana ujasili na jinsi ya kukabiliana na changamoto za kila siku.

Kumekua na matukio mengi watu wanajiua na wengine wanawadhulu mpaka watoto wao.

Nikiangalia huzuni nilioibeba moyoni mwangu, natamani ningepata mtaalam wa mambo ya akili niongee nae labda kuna kitu moyoni mwangu kitapungua.

Kwa kumalizia Uzi huu ningependa kuuliza hospital ya rufaa mbeya Ina wataalam wa mambo haya? Yaani matherapist?
 
Njoooo Pm chief, tutafanya session. Free kabisa
 
Back
Top Bottom