Tuone japo kapicha ka bi mkubwa wako mkuuMtafute jamaa Anaitwa Dr Boaz Mkumbo yupo Facebook anaelekeza ulaji wa vyakula na jinsi ya kupangilia mlo ! Anaiita Sayansi ya Mapishi
Amemsaidia Bi mkubwa wangu kutoka 107 hadi 80 aseee amependeza sana !! Mcheki

Umenishomda tabia haki vile.Tuone japo kapicha ka bi mkubwa wako mkuu![]()
Aisee kilo 27 sii kitotoMtafute jamaa Anaitwa Dr Boaz Mkumbo yupo Facebook anaelekeza ulaji wa vyakula na jinsi ya kupangilia mlo ! Anaiita Sayansi ya Mapishi
Amemsaidia Bi mkubwa wangu kutoka 107 hadi 80 aseee amependeza sana !! Mcheki
Mazoezi ni asilimia 20%Fanya mazoezi.
Mungu anaingiaje hapa!Mungu akusaidie maana kuondoa uzito ni kazi sana aisee.
1. Intemittent fasting.Wakuuu nimepima uzito nina kilo 105, ushauri wenu wa namna ya kuzikata nifikie 80.
Asiache hizo ratiba maana kucheat kwenye diet nikawaida bila Mungu kumsaidia utacheat kila siku mkuu.Mungu anaingiaje hapa!
Mnamwomba Mungu vitu vya kipuuzi sana, hiyo ni dhihaka kwa Mnyaazi.Asiache hizo ratiba maana kucheat kwenye diet nikawaida bila Mungu kumsaidia utacheat kila siku mkuu.
Basi mpe kazi shetaniMnamwomba Mungu vitu vya kipuuzi sana, hiyo ni dhihaka kwa Mnyaazi.
Piga sana push up, piga sana plunk, ruka sana kamba piga sana squatting, kimbia sanaWakuuu nimepima uzito nina kilo 105, ushauri wenu wa namna ya kuzikata nifikie 80.