Nadhani hii debate inazidi kupinda, kama Tanzania walifanya makosa kumvamia Idd Amin wa Uganda basi Kenya nayo inafanya makosa kwenda Somalia kupigana na Al-Shaabab!!!
What I dont understand and what Kenya doesnt want explain to us, ni kwanini Kenya wanataka kila wanachosema/demand basi Tanzania iseme YES? As a sovereign nation Kenya has its own priorities and so is Tanzania. Sasa kwa nini Kenya wanaoenekna ku-discount hilo? Hivi wanaamini Tanzania haijui nini cha kufanya au Tanzania haina priorities?
Na haiwezekani kuwa na EAC inatakayo-accommodate interests za individual member state? Kuwa na uchumi mkubwa does not mean that Kenya has the right to dictate how other country should run its affairs. Yes, uchumi wa Tanzania bado ni mdogo kulinganisha na Kenya, lakini siyo jukumu la Kenya kuinua uchumi wa Tanzania.
Tukichukulia mfano EU, Germany ndio number 1 kwa uchumi mkubwa, France nayo wanawazidi UK, lakini ndani ya EU, UK imeamua kutojiingiza kwenye mambo fulani fulani i.e single currency, visa kwa sababu wanazozijua wao kama nchi.
Tukurudi kwenye hii EAC Tanzania imeshasema ni yapi wanakubaliana nayo na yapi yarekebishwe ili yaendane na national interest zake. Tatizo ni nini?
Mimi nadhani Kenya wamejiaminisha mnooooo kuwa Tanzania hawajui mbele wala nyuma! hivyo wanapoleta ngonjera zao na zikakataliwa wanahamaki maana hawakutegemea Tanzania wanajua 'kusoma na kuandika'! Wamesahau kabisa kuwa tunajuana vilivyo, tuna experience ya muda (EA community ya 1970s).
Kuna thread moja nilisoma mdau mmoja akisema kuwa itachukua 103 years kuifikia Kenya! Sikujibu na sitoijibu kwa sasa ila tuombeane uzima hadi walau 2020! Ninachoweza kusema Kenya walikosea sana kutoharakisha mambo yao wakati wa mzee wa Valuer - Mkapa. Yule alikuwa anapata viroba vyake asubuhi ana-sign makaratasi. Bahati mbaya sana!

Kabaridi,
..Tanzania liberated Uganda frm Idi Amin dictatorship. I have Ugandan friends who call[wananitania] me "mkombozi," which means "the liberator" bcuz that is the name that Ugandan ppl used to call Tanzanian soldiers who fought in Ugandan war.
..I dont know why u keep refering Tanzanias involvement in Uganda as an invasion. Is that just ur own view, or it is the view of the majority of Kenyans?? All Ugandans I have met so far r very thankful to JWTZ[jeshi la wananchi wa tanzania] for LIBERATING their country.
..kwa kweli ku-equate vita ya kumtoa Iddi Amin na uvamizi na unyama wa Rwanda na Uganda dhidi ya wananchi wa Congo, ni matusi[insults] kwetu wa-Tanzania na mashujaa wetu waliokomboa Uganda toka mikononi mwa Iddi Amini Dada.
..SADC military assistance is not automatic. The conflict in Congo-Kinshasa is a good example; Zimbabwe,Angola, and Namibia, sent their armies to fight alongside Congolese, and Tanzania removed her soldiers who were already inside Congo. Also, Tanzania, and Zimbabwe, are the only SADC members that helped Mozambican government fight of Renamo bandits.
..I think wa-Tanzania r asking some very practical questions before they sign on to EAC defence protocal. How is Tanzania supposed to conduct her military policy when it is a signatory of both SADC and EAC defence protocals??
NB:
..Angola has not asked SADC assistance to support her military involvement in Bamako, and Guinea Bissau.
..to me Angola is a very interesting country considering the way it is trying to assert herself militarily and economically.
..i read Angola invested about $ 500 million in bauxite mining in Guinea Bissau!!
tanzania should just choose one eac or sadc not put two legs in different roads like the proverbial nyangau that split into two coz of tamaa
While ignoring the bad and old cancer "politics", kenya has the best diplomatic relations in the continent. You have localised everything even language which makes you fail the amiability test.
If I read on and between the lines you sound like embracing colonial legacy.... and, that is not diplomatic relations, better to call colonial hangover.....
I have been in South America, Latin America, Continental Europe, Scandinavia and Eastern Europe.... majority (some of them are termed as prof. dr dr -academic title) don't know the Queen language.... they have localised their language. But are miles far ahead to you (kenyans) who claim that unlocalised (simply becoz u use Queen lingua)
You sound learned..... my small question...... who to make beneficial!!???That is true, but you cannot equate equate Kenya's economic status with Hispanic Nations, most of these are now resorting to English as a global language, which remains the language of choice for Many people around the world. I cannot figure why Africa should remain economically unviable to preserve an African identity which is not beneficial.
Kabaridi,
Hivi ulidhani kenya ilikwenda somali kwenye vita sababu ya alshabaab?!! What is this insect called Alshabaab?!
Serikali ya Kenya ilisema inaenda Somalia kufuata nini?
You sound learned..... my small question...... who to make beneficial!!???
OMG! my friend. You still haven't read along the lines? Does this need any clarification? The way piracy inaua biashara karika Indian ocean belt, do I need to explain the reason why kenya is confronting extremists. Anyways the incursion has a two-fold purpose which are primarily LAPSSET and secondarily quell the effects of extremist activities at the coastal region.
Nani anafanya piracy na yuko wapi huyo anayefanya piracy?
Naamini umefuatilia hii debabte vizuri, sasa, niambie kwa nini unafikiri serikali ya Kenya iko 'right' ya kupambana na madhira ya pircay lakini isiwe sahihi kwa Tanzania kupambana na uchokozi wa Idd Amin?
Why do we want to revolve around a small issue? Let us then assume if you want us to decipher the use of the "Queens language", there are so many items associated with your so called "colonial hangover" you should also consider deciphering like the Queen's education and government/political systems you are trying to re-invent via "swahiliism"!!!
[/B][/COLOR]
[/LIST]
Not same protocol presented in Bujumbura...i have both copies:nono:
Sure..... we have a lot of colonial origin.... but we need to be clever than the cleverer...... drop them down and think on our own..... this will heal us from depending on Washington consensus as our thinking tank....
Asian (small) Tigers + Giant China are making it why the mighty Africa!!????
Nani anafanya piracy na yuko wapi huyo anayefanya piracy?
Naamini umefuatilia hii debabte vizuri, sasa, niambie kwa nini unafikiri serikali ya Kenya iko 'right' ya kupambana na madhira ya pircay lakini isiwe sahihi kwa Tanzania kupambana na uchokozi wa Idd Amin?
NAOMBA MSAADA WANAJUKWAA. KUNA KITU NASHINDWA KUKIELEWA. Kwa nini kila wakati pakitokea mabishano kuhusu matatizo katika jumuia ya Afrika Mashariki, hatima yake huwa ni matatizo kati ya Kenya na Tanzania? Kwa nini?

Hii ni jumuiya ya Afrika Mashariki ya pili na ili nyingine ilipokufa iliamuliwa watu wagawane mbao, and guess what?